Maisha ni mafupi kujishengesha na binadamu wasokupenda.Afadhali kufanya jambo linalokujenga kimawazo na kukupa tumaini huku nikingoja kifo changu kwani kuishi ni kudura za Mwenyezi na kufa ni faradhi.Dunia imejaa wengi ambao wanataka kukubwaga ili usiongokewe mustakabalini;hata hivyo,ni vyema kumtegemea Mola na kuishi upendavyo.Yote tisa,kumi ni kuwa kuandika ndiko kunanipa maisha yaliyotulia kwa kuwa hii ndiyo njia pekee ya kutema hisia zote.Hakuna wa kuaminika asilani.
IG.erickndungu001
Fb.Erick Ndungu
Twitter.@WeyeMatuko
- Nakuru
- Se ha unidoApril 6, 2019
- facebook: Perfil de Erick en Facebook
Regístrate para unirte a la comunidad de narradores más grande
o
Historias de Erick Ndungu
- 6 Historias publicadas

KISASI
15
0
2
......Alikuwa tayari ameua maajenti waliowatimua na kunadi vitu vyao vya nyumba,akamtafuta kijana yule aliyek...

KARATA YA MAHABA
38
0
6
Opondo,Mwanahabari mpelelezi wa runinga ya Leo anarekodi kanda ya video kuonyesha Katega akishiriki biashara...

Nisamehe Mpenzi
944
46
9
Matuko atafanyani agunduapo kuwa Maria ni msaliti?
Monicah atafanyani agunduapo kuwa Kelvin ni msaliti?