MATATIZO YA HOMONI KWA MWANAMKE

1 0 0
                                    

MVURUGIKO WA HOMONI NI NINI?

Matatizo ya homoni ni tatizo kwa wanawake wengi kati ya wanawake 10-- waliopo kwenye ndoa 8 wana matatizo ya homoni za uzazi.

Pamoja na uwepo wa tatizo hili kwa wanawake wengi lakini halijionyeshi wazi na kumfanya mwenye tatizo hilo alitambue mapema mpaka linapoonyesha kumletea athali ki-afya.

Hii ndiyo sababu wanawake wengi hupuuzia hata wanapoona dalili kidogo

Na kuendelea kuamini yakwamba hawana tatizo lolote ki-afya.

CHANZO CHA MVURUGIKO WA HOMONI

Kuna vyanzo mbalimbali vinavyo sababisha kuvurugika kwa homoni za mwanamke.

1 kuwa na wapenzi wengi.

2 matumizi ya vidonge vya antibiotics kiholela bila kufanyiwa vipimo.

3 matibabu ya muda mlefu zaidi ya miezi 6

4  matumizi ya baadhi ya vifaa vya ki-electronic

5  matumizi ya vyakula na vinywaji vyenye  kemikal kupitiliza.

6  kutawaliwa na stress mawazo mengi.

7 matumizi ya njia za kupanga uzazi.

Hivi ndivyo vimekuwa chanzo kikubwa cha kuvurugika kwa homoni za mwanamke.

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI

1 kuhisi uchovu
2 kichwa kuuma
3 kuhisi dalili za ujauzito
4 kuvurugika kwa hedhi
5 hasira za karibu
6 kuchagua vyakula
7 kupoteza mvuto wa ngozi yako.
8 kutokwa na uchafu sehem ya uke.

MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI.

1 kushindwa kushika ujauzito
2 mirija ya uzazi kujaa maji
3 kuota kitambi kama mjamzito
4 kupata  uvimbe kwenye kizazi
5 kujifungua mtoto njiti
6 kupoteza kinga ya mwili
7 mimba kuharibika.

NJIA YA KUJIKINGA  NA TATIZO LA KUVURUGIKA KWA HOMONI.

1 punguza matumizi ya madawa yenye kemikali

2 tumia vyakula na vinywaji aslia visivyo na kemikal.

3 fanya mazoezi walau kwa wiki mara 2 kwa muda wa nusu saa ya jua kali.

4 punguza mawazo stress.

5 punguza kushiriki tendo la ndoa  shiliki kwa wiki mara 3 na ubaki na mmoja tu umpendae.

6 zingatia usafi wa mazingira yanayo kuzunguka.

7 tafta marafiki 3 wapya na upunguze marafiki wa zamani 5 wale wa karibu zaidi.

MATIBABU YA KUSAWAZISHA HOMONI.

kutokana na tatizo la homoni sio ugonjwa kama ilivyo kwa magonjwa yanayo sababishwa na bakteria

Kwa hili ni tofauti kabisa tatizo hili linahusisha zaidi hisia na akili kwa hivyo vichocheo vya kuunganisha ufikiri na hisia havihitaji matibabu ya dawa yoyote yenye kemikal.

Ingawa wagonjwa wengi hupendekezewa madawa ya homoni bandia za plastic mfano wa dawa wanano patiwa ni dawa za kupanga uzazi.

Swali kwako je dawa za kupanga uzazi ni tiba ya kusawazisha homoni?

Kwa upande wangu hilo sio suluhisho sahihi la kusawazisha homoni.

Je niipi njia sahihi ya kumaliza mvurugiko wa homoni?

Njia sahihi na ya kipekee ya kusawazisha homoni ni:- kuachana na visababishi vyote vilivyo sababisha tatizo hilo.

Njia ya pili ni kuhakikisha unabadili mtindo wako wa maisha na kutumia vitu visivyo na kemikali.

MATIBABU MENGINE YA NYUMBANI YA KUKUSAIDIA KUSAWAZISHA HOMONI.

1 Tangawizi mbichi ukisaga na kuichemsha utatumia kuinywa kila siku asubuhi na jioni kwa mda wa siku 90 mfululizo.

2 tumia mbegu za alizet maboga tikitimaji mlonge karanga tafuna mfurulizo wa siku 90

3 fanya mazoezi ya kukimbia nusu saa kila ifikapo saa 8 mchana mfurulizo wa siku 90

4 kunywa maji mengi yasiyo pungua lita 3 na kutumia vyakula vyenye nyuzi na visvyo kobolewa mfurulizo wa siku 90

5 Epuka kukaa pekeako kwa muda mwingi badala yake tembelea maeneo yanayo kufurahisha zaidi.

TIBA ASILIA SAHIHI NA SALAAMA KWAAJILI YA KUSAWAZISHA HOMONI.

Micro2 Yunzh zaminocal.
Hizi ni aina 3 za virutubishi vinavyo tumika zaidi kwa mwenye tatizo la mvurugiko wa homoni

Na zimewasaidia wengi wenye kutambua umuhimu wa afya zao baada ya kugundulika wana matatizo ya homoni za uzazi.

Zinakupatia faida kubwa baada ya kutumia
1 huufanya mwili wako kuwa na nguvu zaidi wakati wote

2 huimarisha kinga na kumaliza maambukizi katika viungo vya uzazi

3 huweka sawa mzunguko wako wa hedhi na kumaliza maumivu yote yanayo tokea kipindi cha hedhi.

4 hufungua mishipa midogo ya damu na kuongeza viinilishe ndani ya mwili.

5 huimarisha fuko la uzazi na kurahisisha mimba kuingia haraka

6 husafisha mirija ya uzazi na kuondoa vimbe mbalimbali zilizopo kwenye mfumo wa uzazi

7 huimarisha mishipa na maungio.

8 husawazisha homoni na kuboresha ngozi yako.

9  inaongeza ham ya kufanya tendo la ndoa

10 inasaidia kukomaza mayai ya uzazi haraka.

Hizi ndizo faida utakazo zipata baada ya kutumia tiba hii.

OFFER NI KWA YEYOTE ATAKAE HITAJI NDANI YA SIKU 10 ZA MWANZO

Kumbuka leo ni siku sahihi ya kuchukua hatua ili usipoteze offer hii kama utachelewa itakulazim ulipe zaidi.

Badala ya kulipia sh 250000  ya offer utalipia sh 300000 kama ilivyo kawaida ya siku zote.

Nasubiri maamuzi yako
By DR.SANI ELYASI MLAWIZI.

JINSI YA KUTUMIA LISHE KAMA DAWA Where stories live. Discover now