VYANZO VYA MIMBA KUHALIBIKA

1 0 0
                                    

SABABU ZA MIMBA NYINGI KUHARIBIKA

Wanawake wengi hukumbana na changamoto hii ya kupoteza mimba kabla ya miezi 9 kutimia pia wapo ambao hushika mimba na kabla ya kujitambua mimba hizo hutoka zenyewe  mimba hizi mara nyingi zinaharibika ndani ya wiki ya pili hadi wiki ya nne.

Zipo sababu mbalimbali zinazo pelekea mimba kuharibika au kutoka kabla ya muda wa kujifungua.

SABABU ZA MIMBA KUHARIBIKA.

Mimba nyingi hutoka kwa sababu kuna matatizo kwenye genetics za mtoto na si kosa la mama ama la baba.

Hii ni kutokana na maumbile ya mtoto kuwa na shida katika ufanyikaji.

Sababu nyingine za kutokwa na ujauzito ni:-

1.Maambukizi, watu waishio na baadhi ya maambukizi kama P.I.D ama HIV wanaweza kuwa hatarini.

2.Kuwa na maradhi kama kisukari ama maradhi katika tezi ya thyroid.

3.Matatizo katika homoni.

4.Mfumo wa kinga kuwa dhaifu huondoa mimba.

5.Shughuli na maumbile ya mama.

6.Mfuko wa mimba kuwa na matatizo.

Pia mwanamke anaweza kuwa na nafasi kubwa ya kutokwa na ujauzito kama:-

1-Atakuwa na umri wa zaidi ya miaka 35 na kuendelea.

2-Ana maradhi kama kisukari au maradhi ya tezi ya thyroid.

3-Kama ana kawaida ya kutokwa na ujauzito zaidi ya mara tatu katika maisha yake.

DALILI ZA MIMBA KUHARIBIKA.

1.Kutokwa na damu ambayo inaweza kuongezeka kadiri muda unavyozidi kwenda.

2.Maumivu makali ya tumbo.

3.Kupata uchovu usio wa kawaida.

4.Maumivu makali ya mgongo.

5.Kupatwa na homa iliyochanganyikana na moja ya dalili zilizotajwa hapo juu.

MADHARA YA KUHARIBIKA KWA MIMBA.

1 Upungufu wa damu mwilini.

2 Ugumba kushindwa kushika ujauzito.

3 Kupoteza kinga ya mwili kwa urahisi.

4 Vifo visivyo tarajiwa.

5 Maambukizi yasiyo na kikomo katika viungo vya uzazi.

USHAURI.

Hakiki Afya yako kabla ya kushika ujauzito na baada ya kushika mimba fuata ushauri wa daktari baada ya kufanyiwa vipimo epuka kutumia vilevi vyote pamoja na madawa bila kufanyiwa vipimo.

MATIBABU YA NYUMBANI.

1 Tumia kunywa tangawizi kila siku chemsha kikombe kimoja cha maji kisha tia tangawizi iliyosagwa kiasi cha vijiko 2 kologa vizuri chuja kisha kunywa.

2 chukua vitunguuswaumu uvimenye kata punje ndogondogo  tumia punje nne kilasiku kunywa kama vidonge asubuhi na jioni.

3 Tumia kutafuna mbegu za mlonge tafuna kilasiku asubuhi na jioni punje kuanzia 4 na kuendelea.

MATIBABU MENGINE YA KUDUMU.

Umepoteza ujauzito hapo awali bado unahitaji kushika ujauzito mwingine lakini unahofia kuhalibika tena njia ya kukusaidia kuondoa athali zote kwenye mfumo wa uzazi.

Zaminocal Yunzh genceng coffee na feminine hii ni packege nzima ya dozi itakayo kusaidia kuimarisha na kukinga uharibifu wa mimba.

Pia zinasaidia kuboresha afya ya mama na mtoto tumboni ninzuri kwa wenye changamoto za uzazi wenye matatizo ya maambukizi katika viungo vya uzazi hutibu magonjwa yote kwenye kizazi.

Huondoa sumu mwilini na kusawazisha homoni za uzazi.

Jinsi ya kuagizaa ama kuipata wasliana nami kwa namba zifuatazo +255658091941 +255782812300

DR.ELYASI MLAWIZI.

JINSI YA KUTUMIA LISHE KAMA DAWA Where stories live. Discover now