CAREN

0 0 0
                                    

Sikujua napelekwa wapi, sikujua nimechukuliwa na kina nani. Na hokumbuka ni short niliyopigwa nikapoteza fahamu pale ndani ya seli yangu. Nimemisi mwanga wa jua, miaka imepita tangia niingie ndani ya gereza.

Leo kwa mara ya kwanza natolew waa nje, japo nimefungwa kitambaa usoni, najua kabisa nipo nje, tena ndani ya gari la kifahari, kulingana na mlio, halina mtikiso na harufu nzuri nayoisikia.

Baada ya kugundua kuwa sijafungwa pingu mahali popote bali ni uso tu umefunikwa, nilijifungua kile kitambaa usoni na nikakutana na mwanga mkali sana ambao ulimifanya nisiweze kuona vizuri. Ni mwanga wa dunia, mwanga wa jua ambao nilinyimwa kuuona kwa miaka mingi. Nilifikicha macho kwa muda hadi nilipouziea mwanga na sasa nikawa naona vizuri.

Nipo siti za nyuma za ile gari ya kifahari, naweza kuitambua kuwa ni range Rover, na mbele kuna wanaume wawili mmoja ana rasta na sura iliyoungua na mwingine ni handsome na ana misuli sana. Wamevaa kama wanajeshi ila rasta na jeshi wapi na wapi.

"Oya embu simamisha pembeni hapo" yule rasta alimuambia dereva wake. Waliingiza gari pembeni kisha akaja siti za nyuma nilizokuwa nimeketi.

Sura yake inatisha sana kwa jinsi alivyoungua, ana mwili mziri tu ila niliweza kugundua mabaka mengi kifuani kwake kwani shati alikuwa amelifungua kidogo. Inaonekana ni nyamera haswa.
"Caren!!!" Aliniita kwa sauti inayo kwaruza sana kama anaumwa kifua. Namuogopa, anazichezea nywele zangu zilizoota bila mpangilio kwani gerezani sikuwa nanyolewa.

Kwaajili ya kusagana na maafande wa kike nilinyolewa nywele za sehemu za siri tu! Kwapani nina nywele ndefu na kichwani nina nywele ndefu na zipo rafi sana. Sijipendi, sivutii na nachotamani ni kifo tu. Natamani huyu kaka aniue kwani inaonekana ni gaidi wametumwa kunimaliza.

"Caren!!" Aliniita tena huku anazidi kunikagua kila kona ya mwili wangu. Kila anapokutana na macho yangu ananikwepa na kisha akaanza kutokwa machozi.

Macho yake hayaelezi kuwa ni gaidi bali ni mtu mwenye maumivu makali mno. Alizidi kunichezea nywele na sasa akanikumbatia kwa nguvu mno. Analia kwa sauti ya uchungu.
"Caren... Wameku...fanya nini hivi mpenzi wangu!"

OMG! Niliweza kuigundua sauti yake sasa, ni Alex! Amekonda sana na hafanani hata na yule mwanaume aliyekuwa ananipagawisha miaka ya nyuma.

𝑴𝒂𝒔𝒌𝒊𝒏𝒊 𝑻𝒊𝒄𝒉𝒂 𝑨𝒍𝒆𝒙 𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒂𝒎𝒆𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒌𝒊𝒕𝒖 𝒄𝒉𝒂 𝒂𝒋𝒂𝒃𝒖!

"Alee!!! Ni wewe babaa!" Nilitokwa na machozi ya uchungu sana. Alex alinikumbatia kwa nguvu huku ananikagua mgongo wangu kwa vidole, nina mabaka ya mijeledi na yeye pia ana makovu na vidonda vya mateso.

"Ni mimi my love!" Alijibu huku tunaangaliana kwa huzuni iliyo na furaha ndani yake.
"Mbona uso wako umekuwa hivyo, wamekufanyia kitu gani..!" Nilimuuliza kwa uchungu sana huku, naugusa uso wake ulioungua vibaya sana.

"Usijali my love, hii ni sura ya bandia, hii ni sura ya mtu mpya anaitwa Derick... Hii ni sura itakayolipiza kisasi kwa yoyote aliyehusika kututesa kiasi hichi... Hii ni sura itakayoutoa utawala wa wanyanyasaji madarakani..." Alex aliongea kwa uchungu na jazba. Sasa aliivua ile sura ya bandia, akavua na lile wigi la marasta akabaki Alex nayemjua mimi.

Nilipohakikisha ni mwanaume wangu, nilimvamia na kumpiga mabusu mengi sana usoni na mdomoni. Nilikumbuka ile mizagamuano ya kipindi cha nyuma. Nilikumbuka alivyoomba anuse chupi yangu.

"My love... Siamini jamanii" nilizidi kujisikia raha kila aliponibusu kwa hisia sana.
"Wamekufanya vyote lakini hawajaondoa kiutamu changu...!" Alex aliniambia huku anaingiza mkono katika ya mapaja yangu.

"Mhhh! Na wewe hawajakata tamu yangu my.." nilimjibu huku na mimi nakagua kama tango lililonitoa bikra bado lipo.

Siwezi kuvumilia mkono wa huyu kaka hata ukinigusa kichwa napataga hisia. Tayari nishaanza kujisikia joto na mishipa ya fahamu imeshatuna. Kinembe kimezoea kuguswa na vinembe sasa kinaguswa na vidole vya kiume.

"Imma, embu tupishe kidogo ndugu yangu, ni muda mrefu sana sijasafisha rungu kaka!" Alex alimuomba yule kaka mwingine atupishe kidogo tujikumbushie vitu vyetu.

ITAENDELEA

You've reached the end of published parts.

⏰ Last updated: Sep 12 ⏰

Add this story to your Library to get notified about new parts!

THE COMEBACK Where stories live. Discover now