Time after time
Peter ni binadamu ambaye alikuwa haelewi maisha yake aliumbwa kwa ajili gani na kwa nini alikuwa duniani.Kifo cha mpenzi wake wa siku nyingi siku ya harusi yao ndicho kilichokuwa kikimtia wazimu na kumfanya ajisikie upweke mkubwa katika maisha yake.Hakuruhusu moyo wake upende tena na hili liliwapa wakati mgumu sana ki...