MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO U.T.I

1 0 0
                                    


FAHAMU CHANZO HALISI CHA U.T.I MAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO.

U.T.I  ni ugonjwa unaoshambulia njia ya mkojo na isipotibiwa ama kupatiwa matibabu sahihi kwa muda mlefu huhama katika njia ya mkojo na kushambulia viungo vya uzazi hii huitwa u.t.i sugu.

Chanzo cha u.t.i kwa kawaida huanzia katika utumbo mkubwa ambako bakteria wa u.t.i huishi na kuzaliana kwa wingi.

Jinsi u.t.i inavyotokea na kuanza kukuletea athali mwilini.

Bakteria hawa wa u.t.i hutoka ndani ya utumbo mpana na kujisogeza karibu zaidi na tundu la haja kubwa.

Hivyo hutafta namna ya kujisogeza kwa kutambaa ili kutoka nje.

Ikiwa umevaa nguo ya ndani yenye kukusababishia joto kali na kutoa jasho katika sehemu za siri hapo utakuwa umewapatia nafasi kubwa bakteria hawa na kujisogeza katika sehemu ya uke.

Njia nyingine ambayo huitumia kufikia mashambulizi ni hii....

Kumbuka bakteria hawa huishi katika utumbo unaohifadhi kinyesi pia wakati wa kujisaidia hupata nafasi ya kutoka ndani ya utumbo huu mkubwa na kujishikiza kando ya kinyesi.

Pindi unapo fikia wakati unaangusha kinyesi chako hudondoka pamoja na kinyesi na wengine kubakia pembezoni mwa tundu la haja kubwa.

Sasa linapo kuja swala zima la kujisafisha ama kujitawaza hapa ndipo unapompatia nafasi ya kuogelea na kuingia katika uke.

Na hivi ndivyo u.t.i inavyo kupata na kuanza mashambulizi.

Njia nyingine ni njia ya kushiriki tendo la ndoa na mtu mwenye maambukizi ya u.t.i.

DALILI ZA MAAMBUKIZI YA U.T.I

1 Kuumwa kichwa
2 Kupata homa kali
3 Kuhisi kichefuchefu
4 Kuharisha
5 Maumivu ya tumbo
6 kuchoka sana hata bila kufanya kazi nzito

7 Viungo vya mwili kukosa nguvu
8 Kuhisi kizunguzungu
9 Kukojoa marakwamara
10 Kupata maumivu wakati wa kukojoa n.k

Zipo dalili nyingi sana ila nimekupatia hizi chache tu kwasababu muda nao ni mchache.

Hebu twende sasa tuangalie hapa chini ni:-

MADHARA YA KUTO TIBIWA HARAKA U.T.I

1 Kutokwa na uchafu sehemu ya uke.

2  mimba kuharibika kila wakati.

3  kudhoofika  kwa kinga ya mwili.

4  kuishiwa ham ya kufanya tendo la ndoa.

5  kupoteza mvuto wa muonekano wako

NJIA YA KUJIKINGA NA TATIZO LA U.T.I

1  Vaa nguo za ndani zisizo bana sana

2 kumbuka kujisafisha kuanzia mbele na kumalizia nyuma wakati wa kujisaidia haja kubwa.

3 safisha vizuri sink la choo kabla ya kujisaidia na baada ya kujisaidia.

4  tumia nguo za ndani zilizotengenezwa kwa pamba.

5  Epuka kuvaa nguo za ndani zisizo kauka vizuri.

MATIBABU YA UGONJWA HUU WA U.T.I
Matibabu yanayo pendekezwa na madaktari wengi katika vituo vya afya ni vidonge vya kumeza na vya kuingiza katika uke pia sindano kwaajili ya kutibu u.t.i

MATIBABU MENGINE YA NYUMBANI.

1 Kitunguu swaum ni tiba nzuri ya kuuwa bakteria wabaya tumboni na kusafisha mishipa mbalimbali mwilini.

2 Tangawizi hutumika kutibu u.t.i kwa kuichemsha na kunywa grasi 1 kutwa x 3

3  unaweza tumia kunywa maji mengi zaidi ili kupelekea kukojoa zaidi na kuwaondoa bakteria waliopo katika mrija wa mkojo.

4  BAKING powder ni dawa pia nzuri ya kutibu tatizo la u.t.i.

Tumia kijiko kimoja cha BAKING powder tia katika maji grasi 1 koroga na unywe kutwa x 3.

TIBA MAALUMU KWAAJILI YAKO.

Feminine na Yunzh ni tiba asilia kabisa ambayo imetengenezwa kwa mfumo wa vidonge na maji kwa lengo la kukusaidia kumaliza tatizo la u.t.i bila kujiludia tena.

Kunafaida nyingi utakazo zipata endapo utaamua kutumia tiba hii sasahivi kutokana na mchanganyiko uliowekwa ndani ya hizi dawa aina mbili.

1 Itakusaidia kusafisha mirija ya uzazi na kutibu U.T.I

2  Itaufanya uke wako kuwa mnato na kuondoa uchafu unaotoka ukeni.

3 Itakusaidia kumaliza maumivu ya tumbo kipindi cha hedhi.

4  Itakusaidia kuweka mpangilio mzuri wa hedhi.

5  Inaondoa miwasho na kukupatia mvuto na muonekano mzuri wa ngozi yako.

6 Inaondoa vichunusi usoni na makovu yaliyosababishwa na magonjwa ama mafuta makali.

7  Bila kusahau kukata harufu mbaya ukeni na kuufanya uke kuwa asili kama zamani.

HII NI OFFER YAKO

Ukichukua ndani ya hizi  siku 5 utailipia sh120000/= badala ya kulipia sh 142000/=

Kama utahitaji nikusaidie kuipata hii tiba tafadhari nichek sasahivi kwa kupiga simu kawaida ama tuma ujumbe nitakupigia.

Dr.SANI ELYASI MLAWIZI.

JINSI YA KUTUMIA LISHE KAMA DAWA Where stories live. Discover now