CHANZO CHA MAUMIVU YA TUMBO KIPINDI CHA HEDHI.
Maumivu ya tumbo kipindi cha hedhi kwa lugha nyingine huitwa chango la uzazi.
Maranyingi maumivu haya huwatokea karibia wanawake wote waliofikia umri wa kubeba ujauzito.
Kwa kawaida kunamaumivu ambayo ni makali sana na yasiyo makali kwasababu kupatwa kwa maumivu ya hedhi hutegemeana na maumbile ya mwanamke husika.
Kuna baadhi ya visababishi vinavyo pelekea kupata maumivu makali kipindi cha hedhi.
Lakini pia kuna baadhi ya wanawake ambao wao wameanza kupata maumivu makali tokea kuvunja kwao ungo.
Na kunawengine halihii imewanapata hivi kalibuni hata hivyo maumivu yao hutokea baadhi ya miezi.
Hebu sasa tuone nini chanzo cha maumivu makali kipindi cha hedhi.
Nini sababu ya maumivu makali ya hedhi?
1.kuota kwa tishu (nyamanyama) maeneo mengine tofauti na tumbo la mimba.
Kitaalam hali hii inatambulika kama endometriosis.
Hali pia inaweza kuwa na dalili zifuatazo:-
A.Kutokwa na damu nyingi sana wakati wa hedhi.
B.Hedhi kuchukuwa siku zaidi ya 7.
C.Kutokwa na damu kabla ya siku za hedhi kufika.
D.Maumivu ya tumbo.
E.Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
F.Kupata maumivu wakati wa haja kubwa.
G.Kuchelewa kupata ujauzito.
2.Shida kwenye mfumo wa homoni, hali hii kitaalamu inatambulika kama Polycystic Ovary Syndrome (PCOS).
Hali hii ni ya kawaida sana takribani kwa kila wanawake 5 mmoja wao huwa na hali hii.
Miongoni mwa sababu kuu ni kuwa na homoni za kiume nyingi kupita kiasi kinacho hitajika.
Hali hii inaweza kuwa na dalili kama:
A.Kutokwa na damu nyingi sana.
B.Kupata hedhi kwa muda mrefu.
C.Kuota ndevu ama nywele kuwa nyingi maeneo mbalimbali ya mwili kama ilivyo kwa wanaume.
D.Kuwa na uzito mkubwa .
E.Kuota chunusi.
F.Kunyonyoka kwa nywele na kukosa afya.
G.Kuwa na madoa madoa meusi kwenye ngozi.
3.kuwa na uvimbe kwenye kizazi kitaalamu hali hii hutambulika kama fibroids.
Huu ni uvimbe usio wa saratani unaoota kwenye tumbo la mimba.
Unaweza kuwa uvimbe mmoja ama zaidi.
Unaweza pia kuwa na uvimbe na usiwe na dalili zozote.
hali hii ikiambatana na maumivu ya chango inaweza kuonyesha dalili kama:-
A.Maumivu ya mgongo kwa chini.
B.Maumivu ya miguu.
C.Kupata damu nyingi ya hedhi.
D.Kupata hedhi zaidi ya wiki.
E.Kukosa choo kikubwa.
F.Kukojoakojoa mara kwa mara.
G.Kushindwa kumaliza mkojo wote.
4.kuwa na maambukizi ama mashambulizi ya, fangasi ama kuwepo kwa bakteria kwenye kizazi.
Kitaalamu hii huitwa Pelvic Inflammatory disease au maarufu kama P.I.D.
Miongoni mwa dalili zake ni:-
A.Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
B.Kutokwa na damu kabla ya hedhi na baada ya hedhi.
C.Kutokwa na majimaji yanayotoa harufu kwenye uke.
D.Maumivu wakati wa kukojoa.
E.Homa.
F.Kutokwa na damu kidogo kabla ya kuingia hedhi na baada ya kuingia hedhi.
5. Maumbile ya kwenye mlango wa shingo ya kizazi unakuwa ni mdogo sana.
Huenda mwanamke amezaliwa ivyo ama mlango umeziba baadaye.
6.kukaza kwa tishu (nyamnyama) za kwenye tumbo la mimba.
Hali hii hutokea pale nyamanyama laini za kwenye tumbo la mimba zinapokuwa ngumu na kubadilika kuwa misuli.
7.matumizi ya baadhi ya njia za kuthibiti uzazi kama Intrauterine Device (IUD). hiki ni kifaa kidogo kinachowekwa kwenye tumbo la mimba.
Kifaa hiki mwa wanawake wengine kinaweza kuwaletea shida za kiafya kama:-
A. Maumivu makali wakati wa hedhi.
B. Kutokuwa na siku maalumu za hedhi yaani kukosa mpangilio mzuri wa hedhi.
C. Kutokwa na damu nyingi wakati wa hedhi
USHAURI
1.fanya mazoezi mara kwa mara.
2.Tumia pad zilizo kavu.
3.Hakikisha huna stress yaani misongo ya mawazo kupitiliza.
4.Oga maji ya moto.
5.Tumia dawa za kupunguza maumivu ya chango kama ibuprofen na acetaminophen.
6.Tumia vitamini kama vitamini B1, na B6, madini ya magnesium na omega-3 fatty acid.
MATIBABU YA KUDUMU YA CHANGO LA UZAZI.
Ninayo tiba sahihi kwaajili ya kumaliza maumivu kabisa bila kujiludia tena.
Natoa offer maalumu kulingana na kisababishi cha tatizo.
1 maambukizi katika viungo vya uzazi sh 120,000/=.
2 matatizo ya homoni sh 250,000/=.
3 matumizi ya vipandikizi sh 280,000/=
4 UVIMBE katika kizazi sh 250,000/=
5 kwa mengine sh 80,000/=
Fanya uchunguzi mapema kufahamu nini chanzo cha maumivu makali kipindi cha hedhi.
Pia chukua hatua mapema kuanzia sasahivi ili kumaliza chanzo cha tatizo mapema.
Unaweza piga simu kawaida ama kutuma ujumbe mfupi whatsApp ili kujipatia matibabu haraka.
DR.SANI ELYASI MLAWIZI.
YOU ARE READING
JINSI YA KUTUMIA LISHE KAMA DAWA
Fiksi SejarahNI HAKI YA KILA MWANADAMU MWENYE PUMNZI KUJIFUNZA KUHUSU AFYA KWA JAMII YETU. KITABU HIKI KIMEANDALIWA NA MSHAURI WETU WA AFYA NA MATIBABU DR. ELYASI MLAWIZI. UNAWEZA KUWASLIANA NAE KWA NAMBA +255658091941 & +255782812300. KIMEANDALIWA KWA LUGHA NYE...