TATIZO LA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI

1 0 0
                                    

FAHAMU KUHUSU TATIZO LA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI.

Hali ya kujaa maji ama kuziba kwa mirija ya uzazi husababishwa na matatizo mbalimbali ya magonjwa ya zinaa.

Mirija ya uzazi ni njia maalumu inayopitisha mayai ya kila mwezi na kuyafikisha katika mji wa mimba.

Mirija hii ipo miwili mmoja upo upande wa kushoto na mwingine upande wa kulia.

VISABABISHI VYA TATIZO.

1 Magonjwa ya zinaa yasiyo tibiwa kwa muda mlefu.

2 Tb ya mirija ya uzazi

3 Saratani ya mirija ya uzazi.

4 Utoaji mimba kiholela.

5 Mvurugiko wa homoni za uzazi.

DALILI ZA TATIZO HILI.

1 Kuhisi maumivu makali ya kiuno kabla na baada ya hedhi.

2 Kuhisi maumivu makali kama unachomwa chomwa wakati wa kushiliki tendo la ndoa.

3 kutokwa na uchafu mwingi sehemu ya uke.

4 Mvurugiko wa hedhi.

5 kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

MADHARA YA KUZIBA KWA MIRIJA.

1 Mimba kutungia nje ya mfuko wa uzazi.

2 kushindwa kabisa kubeba ujauzito.

3 kuondolewa kizazi.

4 mimba kuharibika baada ya siku chache.

5 kuandamwa na maambukizi katika viungo vya uzazi mara kwa mara.

USHAURI.

Kama una dalili zozote zisizo za kawaida tafadhari uskimbilie kununua dawa kabla ya kufanyiwa vipimo.

Hakikisha unamuona daktari wa magonjwa ya wanawake na kufanya vipimo kabla ya kutumia dawa yoyote.

MATIBABU MENGINE YA KUDUMU.

Feminine Yunzh micro2
Nitiba nzuri na yenye uhakika wa kusafisha mirija bila kuacha madhara mengine.

Pia kunafaida nyingi zinazo patikana baada ya kutumia aina hizi za dawa.

1 inasafisha mirija ya uzazi.

2 inatibu magonjwa yote katika mfumo wa uzazi.

3 inaimarisha kinga ya mwili.

4 huondoa uchafu sehemu ya uke.

5 huondoa vimbe mbalimbali katika viungo vya uzazi.

6 hupunguza athali za saratani ya kizazi.

7 inafungua mishipa na kuimarisha misuri ya uke.

8 huongeza virutubisho mwilini na kusawazisha homoni.

9 humaliza maumivu ya hedhi.

10 huondoa mafuta machafu kwenye damu.

11 husaidia usambazwaji wa virutubisho mwilini kufika vizuri kwenye seli mbalimbali.

12 husaidia uzalishwaji wa hewa ya oksijen mwilini.

Kama wewe ni muhusika wa changamoto mojawapo kati ya hizo.

Unaweza piga simu ama kutuma ujumbe mfupi whatsApp kwakutumia namba hizi 0782812300 0658091941.

DR MSHAURI.ELYASI MLAWIZI.

JINSI YA KUTUMIA LISHE KAMA DAWA Where stories live. Discover now