UVIMBE KWENYE KIZAZI

1 0 0
                                    

ZIFAHAMU DALILI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA TIBA YAKE.

Tatizo la uvimbe kwenye kizazi limekuwa ni changamoto kubwa duniani kote.

Watu ambao hukabiliwa zaidi na tatizo hili ni:-

1 wenye umri kuanzia miaka 35 na kuendelea

2 wanawake ambao wamewahi kutoa mimba zaidi ya mara 2

3 wanawake ambao hawajawahi kubeba mimba.

4 wanawake wanaotokea katika familly ambayo husumbuliwa zaidi kwa tatizo hilo.

Hatahivyo wanawake wengi hufanyiwa upasuaji zaidi ya mara 3 bila ya kupata mafanikio yoyote ya kumaliza tatizo.

Na kila baada ya miezi michache baada ya kufanyiwa upasuaji uvimbe hujiludia tena.

Watalaamu wengi wa afya hawajasbitisha chanzo halisi cha kutokea kwa uvimbe katika kizazi.

Ingawa kunavyanzo 4 muhimu ambavyo vimekuwa sababu za kujitosheleza kabisa kutokea kwa uvimbe huo.

Uvimbe unaotokea katika kizazi haunatofauti na tatizo la kuota kinyama sehemu ya hajakubwa pia hufanana zaidi na chunusi ama vipele na vijipu.

Hebu jiulize kwanini mtu hutoka chunus usoni?
Na zingine zinakuwa kubwa kama majipu.

Na hii humtokea zaidi binadamu yeyote aliyefikia umri wa kuvunja ungo/ kubarehe.

TWENDE PAMOJA MPAKA MWISHO TUONE  CHANZO CHA UVIMBE KWENYE KIZAZI.

1 chanzo mojawapo ni mvurugiko wa vichocheo mwilini.

2 kuzoofika kwa mishipa inayozunguka kizazi

3 mchafuko wa damu kutokana na kuzidiwa na kemikali mbaya.

4 usambazwaji mbovu wa virutubishi mwilini.

Nafahamu kunawengine kutokana na ujuaji mwingi wataendelea kuweka pingamizi lakini ukweli ndiyohuo.

Japo  kilauvimbe una chanzochake kutokana na aina ya uvimbe ulionao.

Hebu twende tena bila kuchoka tuone dalili zake.

DALILI ZA FIBROIDS AU UVIMBE KWENYE KIZAZI

1 Kutokwa na damu kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi

2 Kutokwa na damu yenye mabonge meusi.

3 kutokwa na damu nyingi kupita kiasi siku yako ya hedhi

4 Kutoona hedhi kabisa ndani ya miezi kadha hatakama hujatumia kinga yoyote ya kudhibiti uzazi

5 Kutokwa na uchafu mwingi na mweupe ukeni

6 Maumivu makali ya kiuno wakati wa hedhi

7 kupatwa na vichomi chini ya kitovu.

8 Hedhi isiyokuwa na mpangilio maalumu

9 Maumivu chini ya kitovu wakati wa tendo la ndoa.

10 Maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi

11 kuhisi kizunguzungu.

12 kuhisi kama kunakitu kinacheza tumboni.

Hizi ni baadhi ya dalili ingawa sio kila ukiona dalilihizi tatizo ni uvimbe.

Kumbuka dalili hizi hufanana na changamoto za magonjwa mengine.

USHAURI

ukiona dalili mojawapo kati ya hizo wahi kituo cha afya kuchunguza afya yako kwa vipimo maalumu.

MATIBABU YA UVIMBE

Ukiwahi kugundulika mapema daktari anaweza kukupatia matibabu ya sindano ama vidonge vyenye homon bandia ili kukusaidia kuondoa uvimbe huo.

Kutokana na baadhi huwa hawaoni daliliyoyote kama itatokea uvimbe umekuwa mkubwa zaidi daktari atapendekeza ufanyiwe upasuaji.

MATIBABU YA KUDUMU YA UVIMBE KWENYE KIZAZI.

Novel dipile, Yunzh, micro2, hivi ni vidonge aina ya virutubishi ambavyo vimewasaidia wanawake zaidi ya 372 ndani ya mwaka 2021 hadi kufikia 2023.

wote ambao walikuwa wakiteseka na uvimbe tumboni wamefanikiwa kupona kabisa na kufurahia maisha ya tiba bila upasuaji tena.

faida nyingine ambazo wanazipata baada ya kutumia tiba hizi ni:-

1 kuweka sawa homoni

2 kumaliza maumivu ya hedhi.

3 kuimarisha kinga ya mwili.

4 kufungua mishipa midogo ya damu inayo peleka damu maeneo ya miguuni.

5 kurekebisha usambazwaji wa virutubisho mwilini.

6 kuimarisha mfuko wa mayai na urutubishaji mzuri.

7 kuzibua mirija na kuboresha mfumo mzima wa uzazi.

8 kumaliza maambukizi mbalimbali kama:- FANGASI U.T.I na P.I.D 

Kama unatatizo la uvimbe tumboni wahi sasa ujipatie packeg yako kwa offer maalumu ya sh 250,000/=

Badala ya kulipia sh 285,000/=ya kawaida.

Kumbuka namba za huduma ni:-

0782812300& 0658091941.

Unaweza piga simu kawaida ama kutuma ujumbe mfupi whatsApp.
Dr. SANI ELYASI MLAWIZI.

JINSI YA KUTUMIA LISHE KAMA DAWA Where stories live. Discover now