MIMBA KUTUNGA NNJE YA KIZAZI

1 0 0
                                    

SABABU ZA MIMBA KUTUNGIA NJE YA MFUKO WA UZAZI:

Mimba ya namna hii kitaalamu hufahamika kama ectopic pregnancy.

Je hii ni mimba gani? Hii ni mimba ambayo yai lililorutubishwa linaendelea kukuwa nje ya mji wa mimba (uterus). Mimba inaweza kukuwa sehemu yeyote kwenye tumbo ila nje ya mji wa mimba.

Kwa asilimia kama 90% mimba hukuwa kwenye mirija ya falopia.
Hii ni mimba hatari sana na inahitaji uangalizi wa haraka sana, kwani inaweza kuhatarisha maisha ya mama. Inakadiriwa kuwa mimba za namna hii huchukuwa kati ya asilimia 1 mpaka 2 ya miba zote.
Kwa nini mimba hii ni hatari?

1.Mimba inatkuwa nje ya mji wa mimba hivyo haiwezekani mtoto kupona. 2.Inaweza kusababisha kupasuka kwa mirija ama sehemu ilipokuwa. 3.Inaweza kusababisha ulemavu kwa mama endapo itachelewa kuonekana.

4.Kwa asilimia 30 mimba hii haina dalili hii ni hatari zaidi. 5.Inaweza kusababisha uvujaji wa damu kwa kiasi ikubwa. 6.Inaweza kusababisha mwanamke kuhitajiwa kufanyiwa upasuaji kamma tiba. Sababu za kutokea mimba hii.

Kama nilivyotangulia kukueleza kuwa asilimia 30 ya mimba hizi hazina dalili. Lakini kwa kiasi kikubwa mimba hizi huwa na dalili. Tafiti zinaonyesha kuwa dalili zake hutokea kabla ya wiki ya 10. Sasa hapa nitakutajia baadhi tu ya dalili za mimba hii:-

1.Maumivu ya tumbo upande mmoja wa nyonga. 2.Maumivu ya mabega 3.Kutokwa na damu kwenye uke. 4.Maumivu ya nyonga. 5.Mvurugiko wa tumbo na kutapika.

6.Maumivu ya upande mmoja wa mwili. 7.Kizunguzungu na uchovu
8.Maumivu ya mabega, shingo na mkundu. Sababu za kutokea kwa mimba hii. 1.Kuwa na maambukizi kwenye via vya uzazi yaani P.I.D. 2.Uvutaji wa sigara. 3.Kama una umri wa miaka 35 na kuendelea.

4.Kama unatumia madawa ya kuivisha mayai 5.Kama ulishapata ujauzito huu hapo mwanzo upo uwezekano kuja kupata tena. 6.Kama ulifanyiwa upasuaji kwenye mirija ya falopia 7.Kama una tatizo la endometriosis 8.Baadhi ya njia za kuthibiti uzazi mfano, IUD.

Nini tena yapasa kujuwa?
1.Ujauzito uliotungia njea haurithiwi yaani kama mama aliwahikupata ujauzito huu hali hii hairithiwi.
2.Kutoka kwa ujauzito sio sababu ya kupata mimba hii.

3.Kutoa ujauzito pia hakuna mahusianao na ujauzito huu.
4.Mazoezi na michezo pia. hihusiani na kutokea kwa ujauzito huu.

USHAURI
Ningependa kukushauri wewe mwenye kupatwa na changamoto hii kwamba nivema kuchukua tahadhari kabla ya kutunga kwa ujauzito kwa kufanya vipimo kila mala.

Na kupata matibabu sahihi ya magonjwa katika via vya uzazi ili kuondokana na changamoto hiyo wakati wa ujauzito. Tunazo bidhaa za kiasili nzuri kwaajili ya kumaliza maambukizi ya magonjwa ya mfumo wa uzazi kwa mwanamke. Kama utazihitaji wasiliana nami kwa namba hizi 0782812300 & 0658091941
Kama una swali lolote karibu uwanja ni wako sasa ASANTE.

You've reached the end of published parts.

⏰ Last updated: Feb 03, 2023 ⏰

Add this story to your Library to get notified about new parts!

JINSI YA KUTUMIA LISHE KAMA DAWA Where stories live. Discover now