Chapter 5

66 2 0
                                    

Rob: haya meza apa apa swty
Angel:mbona wanipa moja ?siezi meza mbili?
Rob:aai swty huoni instructions zinasema moja wajua izi vitu ziko na copper.Shika maji
(swallows the pill)
Angel:thanx swty
Rob: sasa ona umemeza pill na hatujafanya kitu.
Angel:na si unanipiga lecture sai wakati nimeshameza.ah swty bana twende. leo tunaenda wapi?
Rob:swty kuna place apo chini hiyo tutaita honia 4

Angel:wow, fine basi let's go

As they walked towards honia 4 they began telling each other stories
Rob:swty lakini mbona ulinichukia tukiwa primary?
Angel:si kukuchukia si unajua tu kuna vile mtu anaweza kukusinya tu bila sababu
Rob:so nlikua nakusinya?
Angel:kiasi tu

Rob and angel met in primary school but then they were not even close friends just classmates infact,angel kind of ditested him for no reason at all.
Angel:by the way swty tulizoeanaje?
Rob:I don't know swty but I think ni Toka pale ulipokuja shuleni kwetu, tukiwa high school Unakumbuka?
Angel:oh yeah

Angel's phone started ringing
Angel:swty mum anapiga,nimwambie?
Rob:shika tu , ata hatujakaa acha kutense nawe shika simu

On the phone
Mama Angel:Angel ona nlisahau kukutuma mafuta ya samli mwanangu pitia kwa Hannah uchukue
Angel:sawa mum
Mama angel: si uko na pesa
Angel:yeah niko na pesa mum Nitaleta
Mama Angel:haraka basi

hangs up
Angel:I have to go.Nafaa kupitia kwa hanna nikachukue mafuta
Rob:wah sawa basi ntakupeleka mpaka kwa Hanna Leo

Angel:sawa basi
They left together went to hanna's shop and then

Rob:swty acha Leo nikupeleke mpaka pale kibao cha Nguraru si unaona hakuna watu wengi kwa Barabara

Angel:sawa basi tutembee haraka mtu asije akatuona

Rob:(after looking behind) fuck! swty mamako huyo

Angel:my goodness!yuko wapi?

Rob:yuko nyuma yako

Angel turned behind and saw her mother. She was from a meeting in a neighbouring school, where they were attending the deputies meeting .Unfortunately Angel was not clear on which school she was going to.

As expected her mother gave her a very tough look but kept it cool.

Angel and rob:shikamoo (Angel almost peed on herself)
Mama angel:marahaba wanangu hamjambo

Rob:hatujambo

She walked past them and continued walking

Rob:swty pole (looking at angel)
Angel:sina bahati Leo
Rob:am sorry I didn't mean to get you into trouble
Angel:nimezoea kupigwa haitakua Mara ya kwanza (replied the teary angel)

Rob:pole swty naskia vibayaa

Angel:its okay .Mbona wasimama? tushaonekana hakuna vile tunaeza jificha. Nipeleke mpaka kwa ule mti wetu wa zamani.

Rob:uko sure swty?

Angel :twende

So they got to that tree and Angel got home

Mama angel:keti chini
Angel:(Sat down)

Mama angel :Leo Ata nguvu yangu haitaishia kwako,hautanimaliza nguvu wewe nakataa kumalizwa nguvu na wewe

Angel just looks at her mom and doesn't say a word

Mama angel:na unaniangalia tu 'huyu mjinga amalize aende'sindio eeh ivo ndo unajiambia.sasa hata sai jamani college enyewe hata hujulikani kama utaenda, na wewe Ata hujihurumii Ata Babako akiskia hi story wewe nakuhurumia.niambie sasa, ah ah, tuongee tu leo kama watu wazima si unaingia 18 mwezi ujao ?eeh?niambie wewe na huyu kijana mnapelekana wapi nyote hamna mbele wala nyuma?

Angel keeps quiet

Slaps slaps
Mama Angel :ninaongea na unanyamaza
Angel: sasa nitakujibu nini mum?sai wewe tu umesema mimi ni mtu mzima huyo mtu mzima hatakiwi kua kwa relationship? Mbona mnanikosesha amani huku kwasababu ya kijana wa enyewe.Mami mi nipigeee mpaka utoshekee mimi Rob siachani naye.

Mama angel :hehehe aaai, haya wafanya nini apa si uende akuoe basi,nendaa uolewe

Angel :nitaenda wakati wangu ukifika.

Mama angel :haya basi mngoje babako akifika uje umwambie asipoteze pesa wewe unaolewa mwenyewe heheheh.

Angel:si hua unamwambia kila kitu mum, njoo umwambie.

Mama angel :haya maisha yako hayo

She walks into her bedroom and locks herself up .Her mom comes knocking at her door

Mama Angel:Angel ebu fungua huu mlango

Angel does not open the door

Mama angel:fungua Huu mlango Angel haraka sana

She still does not open the door

Mama angel:Angel nitapiga huu mlango teke fungua haraka

Mama angel:nirudi nyuma nipige teke ? Nirudi nyuma?

Angel finally opens the door

Mama angel:Angel ,si ati tunakuchukia tukifanya ivi.Tunafanya ivi Sababu tunakupenda hakuna mzazi anachukia mtoto wake sasa nikikurekebisha nakuchukia kweli? Na mimi nataka nikustraighten.
Angel: sawa mum lakini usiambie rob hana mbele wala nyuma hujui future ya mtu
Mama Angel: lakini hatujui ata rob kama ako serious na wewe ama anataka tu kukuchezea
Angel : Rob alikua anataka kuja mpaka apa ako very serious
Mama angel: ni sawa lakini asikuje apa mpaka wakati anataka kukuoa sitaki azoee apa. That is kama ni yeye umepangiwa na mungu. Unajua binadamu tuna mipango yetu lakini mungu yeye ndo anajua zaidi.Najua unampenda sana lakini huenda ikawa, si yeye umepangiwa.

Angel : sawa mum

Mama angel :kwaivyo umeamua sasa ni rob

Angel: eeh nimeamua Mum

Mama Angel: na umempenda kweli lakini uchunge asije akakuharibia maisha..... Chunga sana mama

Angel:sawa mum

At this time jael was eavesdropping outside their bedroom door, she was always so nosy,she wanted to hear everything. Their mom walked out and she pretended she had been sitting in the living room with her bag at the back she was coming from school.so she rushes to go and ask angel

Jael:hee sister sister nipe nipe
Angel:ata ni mum alikua ananipa lecture ya rob
Jael:Rob? Kwani amefanya?
Angel:amekutana na sisi pale bridge.
Jael:alafu
Angel:To my surprise tumemsalimia mamako akaitika vizuri kama si yeye yaani
Jael:hehehehehehe enhe rob akasemaje?
Angel:akaaanza kuniambia sorry ye ndo amecause bla bla, mi nikamshow ata asijali kama ni kupigwa nitapigwa tu ilipangwa itokee ivo
Jael:na ulipofika

Angel:ata kwanza acha nimtext nimpe uhondo

Jael:eeh niambie basi angel nawe ukishika simu ata huezi niangalia.

Angel: akaanza kunigombeza ooooh sijui hana mbele wala nyuma eeeh niambie dadi nataka kuolewa.eeehe mami amejua hajui nimempatia peace of my mind na nimemwambia anichape sana lakini ajue Rob siachani naye. tena amenichapa makofi
Jael:wooi,polelakini sai si ni kama amemaccept
Angel:eeh ni kama, umejuaje
Jael:nimetoka shule nikakuja apa nikaskia kila kitu
Angel:Yaani dede wewe ni mbea
Jael :naskia njaa nimeskia harufu ya chapati
Angel:kweli una njaa wewe hakuna mtu amepika chapo.Cheki nimebakisha pesa kidogo kwa change ya mami shika ukanunue viazi karai na upite na ivo nyuma uokote ovacado uonekane ni ovacado umeokota sawa?
Jael: sawa

Angel:nichukulie credit ya 20 bob sina text nataka kuchat na Rob.


LETS FIGHT FOR OUR LOVEWhere stories live. Discover now