Select All
  • EVIL DUTY
    10 0 3

    Evil duty ni hadithi inayohusu utawala mbovu ndani ya nchi ya Kopsheng

  • Nifanye Na Mimi Kaka Dick. Na Juma Hiza
    2.4K 73 19

    Kijana aliye fanikiwa kuwa hodari sana alijitoza katika anasa za dunia......

  • Chozi Nyonge
    227 29 3

    kisa cha msichana mchanga anayepitia changamoto nyingi kutokana na vipimo walivyoweka wazazi wake na waalimu wake. Nani atamwelewa?

  • Kitanda Cha Mauti
    291 31 4

    maisha

  • VUTA N'KUVUTE
    724 72 39

    Mtanzi ambaye ni Kiongozi wa Takia na mgombea kiti cha uongozi cha Takia anaonyeshwa kama kiongozi aliyejaa udhalimu, majivuno, kiburi, na ukatili. Harakati za kumng'atua uongozini zinaanza Lakini pia wale wanaopania kufanya vile haijulikani Hulka yao itakavyobadilika pindi watakavyopata kitu kile. Kutokana na hilo, M...

  • XX703
    63 8 1

    Once upon a time, when people lived normally, when crimes, calamities, over population and poverty were the main concerns of the world. When war was a mainstream event. When every bond stated to whether. Alliances were cut and the only one you can trust is yourself. That once upon a time was long long time ago. So far...

  • Time after time
    286 5 1

    Peter ni binadamu ambaye alikuwa haelewi maisha yake aliumbwa kwa ajili gani na kwa nini alikuwa duniani.Kifo cha mpenzi wake wa siku nyingi siku ya harusi yao ndicho kilichokuwa kikimtia wazimu na kumfanya ajisikie upweke mkubwa katika maisha yake.Hakuruhusu moyo wake upende tena na hili liliwapa wakati mgumu sana ki...

  • USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFU
    115 2 23

    USHUJAA WANGU ULINIPA UMAARUFU Lastlypioneer(braitoni one) SEHEMU YA 1 Katika kijiji cha muchamangwana hukooooooo mkoan Zemzegen kulikuwa na familia moja iliyokuwa ni masikin saaana muda mwingine ucku wao jua lao asubui yaoo mchana wao hawajui nin radha ya rishe yoyote mpaka meno yanasagana misiri ya c...

  • AFUA NI MBILI,KUFA NA KUPONA
    34 5 1

    **Just for fun**😉 SWAHILI NOVEL

  • Ipo Siku
    698 59 17

    Wosia wa babu yangu ukitimia naapa nitakua mtu asiye na kiburi.Naapa kutimiza yote aliyoninongonezea na ninaapa kuitunza aila yangu bila kiburi wala dharau. Maana natumai IPO SIKU.

  • FORBIDDEN LUST (HAMU ISIYORUHUSIWA) Season1
    76 7 5

    FORBIDDEN LUST ni hadithi inayo muhusu Sofia, msichana mwanafunzi aliyejikuta akimpenda jirani yake; mwanaume mtu mzima ambaye hajatulia. Je atafanikiwa kuwa naye? Je ataweza kumpata japokuwa yeye ni mwanafunzi? Soma hadithi hii upate kujua.

    Completed  
  • SUZANNA
    549 23 19

    Suzzanna ni kielelezo cha mtoto msichana wa kiafrika na changamoto anazokumbana nazo maishani. Ni tumaini kuwa licha ya changamoto hizi pana njia iwepo nia

    Completed  
  • MALAIKA WA MCHANA ,SHETANI WA USIKU
    39 0 1

    Hawa anamkimbia mumewe na kuingia ndani ya boti ya mwisho majira ya usiku huku akiambatana na mwanawe wa kike.Mengi yanamtokea Hawa kufikisha ndoto zake za kuwa huru.

  • PETE YA SEKELA
    25 1 1

    Sekela ni binti mkubwa anayemiliki pete yenye uwezo wa kufanya vitu vifuatavyo ; 1.Kurudisha kilichokufa 2.Kuonyesha kisichoonekana 3.Kusaidia paliposhindwa kusaidika 4.Kufariji palipo na huzuni Ungana na Sekela kwenye riwaya hii yenye kuonyesha maisha baada ya kifo . ANGALIZO : 1.Usinakili kazi hii wala kuitumia kw...

  • Coming Home
    867K 19.9K 41

    [Small Town / Second Chance] When Jennifer heads back to her hometown after ten years to celebrate her grandmother's 70th birthday, she knows she'll have to face Matthew, once the love of her life. But what both of them don't expect is to have the feelings they had long buried inside to flourish back to life along wit...

    Completed   Mature
  • Wonderful Love Story of My Life
    20.9K 1.7K 10

    Hello Everyone... Long time no see Now I've prepare my third fanfic.. Hope you guy enjoy... I'm busy in these days but for sure I try my best.. Thanksssss...

    Completed  
  • African Cinderella
    69 3 1

    " I wish I could see you graduate, get your first job, get married. I also wish to see my grandchildren but my time has come. I have to go and be with your mother now. I hope you will make us proud princess" my father's words rewind as I stare at my parents wedding photo, why did they leave me by myself, I ask myself...

  • HIDAYA YA MACHOZI
    392 87 30

    Masihara na Jeni wanajipata penzini, hawajui kuwa huo ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa raha maishani mwao. wanapokanwa na kufukuzwa nyumbani na wazazi, wao hadi kupitia changamoto nyingi kutokana na kukubali kuongozwa na hisia zao. kitabu hiki kinasimulia kwa mapana na marefu mengi mabaya wanayokumbana nayo Jeni na...

    Completed