MY LEFT SIDE sehemu ya kwanza (1)

0 0 0
                                    

Katika familia moja jijini Dar es salaam  ilikua ni majira ya asubuh, katika familia mojawapo jijin familia ya Bw

Oops! This image does not follow our content guidelines. To continue publishing, please remove it or upload a different image.

Katika familia moja jijini Dar es salaam  ilikua ni majira ya asubuh, katika familia mojawapo jijin familia ya Bw. Warrick jikoni alionekana mama wa familia na dada wa kazi wakiandaa breakfast , mda kidogo kupita mama Yule alielekea ngaz na juu na kufika katika chumba kimoja aligonga mlango bila majibu yoyote bas aliamua kufungua mlango na kuingia akaelekea kwenye kitanda ambapo pakionekana na mtu amelala amejifunika blanket alijarib kumfunua lakina haikua rahisi aliamua kumuita kwa saut ya juu kidogo "DRISTAN🗣️🗣️ " Dristan aliamka na kukaa kitandan "hey mam " " fanya haraka uje chin " aliongea mama yake Dristan na kushuka chin . Dristan aliingia bafun alijiandaa na kushuka chini alikuta anasubiriwa ili wapate kifungua kinywa , bas walipomaliza kila mmoja aliondoka mama yake Dristan alichukua gari yake na kuelekea kazin kwakwe alikua ni mwalim wa kindergarten ni shule ambayo aliianzisha , baba yake Dristan aliingia kwenye gari na kupelekwa kweny kampuni yao na dereva wake , Dristan alichukua Uber na kuelekea chuo .
Dristan alifika na kuingia class akafanikiwa kupata nafas ya kukaa licha ya kuwepo kwa wanafunzi wenzake weng wamejaa , baada ya dk chache aliingia rafki yake Alimuita haraka haraka na kumtoa nje , hapo hapo aliingia binti mmoja mweny mvuto , lightskined girl amevalia surual ya suti t shirt na koti lake kwa juu bas alipoangalia angalia aliona sehem wazi alipokua amekaa Dristan alienda kukaa na lecture aliingia class ndipo Dristan na mwenzake walirud na kukuta mtu mwingine amekaa tyr , rafki yake Dristan alijarib kwenda ili aongee na mtu aliekaa hapo lakin Dristan alimzuia , iliwabidi wasimame kweny kipindi maana hakukua na namna .

ALICIA'S POV
kipindi kilipoisha nilielekea canteen kupata chakula ndipo nielekee hostel sikua najiskia vzri sana pia , hvyo nilishkuru maan hakukua na kipindi kingine ten , bas nilielekea kuchukua chakula na kisha kukaa ,
Wakati naendelea kula waliingia vijana wawil kwa muonekano wao walikua ni watanashat wamependeza walionekan kubisha kuhusu kitu flani , walipanga foleni wakiendelea kubishan walichukua chakula na kwenda kukaa waliendelea kula , nikiwa namalizia kula nkaskia mtu anachek kwanguv ,watu waliokuwepo canteen walugekua wote kuangalia nan anacheka namm pia niligekua na kuangalia ,lakin ilikua ni wale wakaka walikua na bahasha mbili zilizofunguliwa lakin mmoja alionekana kutopendezwa na kiluchokuwemo kweny bahasha hyo , alinyanyuka na kuelekea kweny dustbin na kuitupa kisha kutoka nje akifuatiwa na rafki yake , bas namim kwakua nilikua nimemaliza kula niliamka na kuondoka kuelekea hostel , nilioandisha ngaz kuelekea juu floor ya tatu ndipo chumba Chang kilipo lakin nilikutan na wadada watatu wakionekana na frah kuhus kitu flan , niliskia mmoja akiuliza " hv unadhan Torryn ameipend zawad yang ?" Mwenzake pia alidakia na kuuliza swali hilo hilo , mwenzao aliwajib kwa bashasha " guys msjari mmechagua zawadi nzuti hat ingekua mim nimepewa na pisi kali km nyie ningeipenda lazima " bas niliwaangalia na kuwapita maan walikua wakitembea pole pole , nilifika room na kujitupia kitandan km gunia la viaz na nilishukuru hakukua na yyte ili nilale kwa utulivu na mda haukupita usingiz ulinichukua .

MY LEFT SIDEWhere stories live. Discover now