SEHEMU YA 24
Alicia's pov
Siku iliyofuata ilikua ni j mos dada yake Amara alifika akatukuta tupo tayari ,tukaingia kweny gari na kuondoka ,tulipitia sehemu tukala kwanza na kisha kuondoka tulifik kwa Amelia tulipumzika ,sikuwajuliwa nyumban km naend kesho nilitaka iwe ni surprise
"Alicia kwann usingebak skukuu tukasheherekea pamoja "
"Amara huwa nabak tunasheherekea mwaka huu acha nkawe na wazaz wang nmewamis sana "
"Mmmm ni kwel lkn uwafikishie salam zang , nitakumis san rafki yang ,nmekuzoea "
"Twende wote bas "
"🙊kwel Alicia ," Amara alifrah san alinikumbatia "ngoja bas nimpe dada taarifa mapema " wakat anatak kwend Amelia alikua nae anakuja nje alifika na kumuulza "uniambie nin mapema "
"Oh dada nitaend na Amara kwao likizo hii"
Amelia alikaa kimya akatoa cm akaangalia mda na kisha akasema " sawa ,mi natoka kidog km nitachelew kurud nitawapigia niwajulish mnunue chakula au mtaend kula nje ,km sitochelew nitakuj nacho saw "
"Saw dada "
"Hay badae " alipiga hatua chache na kisha akageuka "kesho mnaondoka sa ngap ?"
" sa nne " nilijib na kisha akaondoka
Amara alitoa cm akampigia Torryn
"Hey babe"
"Hey vip "
"Saf ty ,babe kuna kitu natak nkwambie ila tukutane natak "
"Saw bas nakuja ngoja nimwambie na Dristan tuje pamoja "
" poa" ,baada ya mazungumzo yao Amara alikata cm akaingia ndan akachukua biskut akaleta tukaanz kula huku tukipiga story km baada ya masaa mawil gar ya Dristan ilionekan imefika nilishangaa nilidhan lbda Torryn katumia gari ya Dristan lkn ajabu walishuka wote walikuja tulipokua tumekaa nje kweny bustan tulisalimiana na kisha Amara aliingiia ndan akafata juic na kuleta Torryn alikunywa fundo moja na kisha akamuuliza "mbona hujatuliiza tunatumia nn "
"Oh sorry Dristan nmezoea huyu anatua hii "
" ucjali Amara natumia hii"
Bas story ziliendelea pale na badae Amara alimwambia Torryn kesho tunaondoka wote walishangaa wote na Torryn alikuabal akamwambia akipata mda atakua anaend kumsalmia ,
Dristan alikua ananiangalia kwa kuibia ibia hakusema kitu alikua busy akiongea mm nlikua nmekaa nawaangalia nachangia mada kidog ,hali iliyokuwepo ni km tunaugomvi na Dristan * kwann inakua hv ,na hatuna uhusiano wowote ,mambo yanazid kua ya ajab hii hali mpk lin ni kaw couple iliyokwazana oooh Alicia unawaz nn sas * nilikua nawaza huku nmeinamish kichwa chin nikiwa nachezea kucha za mikonon nachezesh miguu , uso umenuna nilishusha pumzi na kuinua kichwa nilikua wote wananitazama ,niliwaangalia kwa kushangaa pia kuanzia Amara ,Torryn na nikamalizia kwa Dristan tuliangalian kwa mda na Amara akauliza
"Alicia unawaza nn "
"Hamna kitu"
"Hamna kitu na tumekuona kbsa akili yako haikua hapa"
"Amara ngoja niend ndan mara moja ". Nilinyanyuka na kuondoka harak harak nkiwa naona aib nilipofika ndan nilianz kushangaa pia kwann nmeona aibu ,agh lkn nlichokifany kinatia aibu ,lkn pia hawajui nlikua nawaz nn ningewez kuwadangany ty ,sas kwann nmereact vile ,nitakua nimewafanya wahis kitu , na Dristan atakua mewaza nn juu yang * nliwaza hvyo na kisha nikaend kweny fridge kuchukua maj na kuanz kunywa nlipomaliza nlifungua macho nikamkuta Dristan mbele yang ananiangalia ,niliangalia pemben harak nikaweka glass kweny meza na nkamuuliza
" kuna kitu unataka "
"Ndio maji"
"Oh " nilichukua ten jag nikawek maj kweny glass na kumpa bas wakat nampa aliichukua glass lkn alishika vildole vyang kwanza akaw ananiangalia uson namm nilimuangalia sikua na cha kusem uoga uliniingia nikapata joto gafla mapigo ya moyo yakaanz kwend kas hakuacha kunitazama alikua anapandish juu mkono pole pole niliangalia anachokifanya lkn nioishindwa kuelewa kwann nakosa kusem kitu kwann nashidw kufany chochote na hatimae aliishik glass na nikatoa mikono alikunywa akamaliza akanipa glass nikaichukua nkaiweka na kuanza kuondoka
Dristan alinizuia alinishika mkono
". Alicia Nataka kukwambia kitu "
"Uh niambie "
"Aaam " alisita kidog na kish akasema " nakupenda "
YOU ARE READING
MY LEFT SIDE
RomanceDristan na Alicia ni wanafunz wa chuo kimoja kikubwa katika jij la Dar es salaam ,Dristan alivutiwa na Alicia bila ya kujua kutokana na sakata lililokua linaendelea baina yake ,Alicia pamoja na kiongoz wa darasa lake .