MY LEFT SIDE 17

0 0 0
                                    

SEHEMU YA 17

"Bray sihitaj kitu chochote kutok kwako na zawad zako nitaziridisha "
Bray alikaa kimya kidog nayy akaagiza kinywaj akaaa bila kunisemesha alikua ,baada ya mda aliuvunja ukimya "Alicia hv Dristan ni rafki yako"
Nilimjib nkiwa naangalia cm yang "hapana " na kisha nikanyanyua kichwa kumuangalia ,alikua anatabasam nikampuuzia nikanyanyuka na kuondoka
"Oh hey ,Alicia unaend wap sas ,ndo unaondoka bila kuaga," nilimskia akiongea nyuma yang (Bray alikua akiongea huku akinyanyuka na kulipia kinywaj chake kisha akamkimbilia Alicia)
"Alicia tuingie kweny gar bas nkupelek"
Nilisimama na kumuangalia kwa macho yaliyojaw userious mkubwa
"Bray tafadhali naomb uniache ,sihitaj unipelek "
"Aam bas saw naomba nikuescort "
Sikumjib niliendelea kutembea mpk hostel nikapand ngaz mpk room nikalala ,(Bray alipomfikish hostel alirud)

*****FLASHBACK****
MWAK MMOJA NYUMA .
  Ndan ya gari aina ya Mercedesbenz nyeus 
"Bray naomba fungua mlango wa gar nitoke "
"Siwez . Hv kwann uko hv ,mim nakupend nakuonesha upendo kwa vitendo ,kila kitu nafanya lkn kwann kitu kimoja ty unaninyima ,mim ni mwanaume niliekamilika ,
Alicia nqkuhakikishia hutojutia ,utafrah  "
Bray alianza kumshika sehem mbali mbali za mwil Alicia akamsogelea kias cha midomo yao kutak kugusan , na kicha Bray akaanz kumkis shingon Alicia ,bila kupoteza mda Alicia alimpiga Bray ikulu kwa nguvu kwa kutumia kiatu chake wakat akiungulia maumivu alichukua fungua akijarib kufungua mlango Bray nay alianga kumvuta kumzuia asifungue lkn Alicia alimgeukia na kumsukuma akajigonga kweny kioo cha gar dam kichwan kwa Bray zilianz kutok ,Alicia hakujali aliondoka na kumuacha hvyo hvyo .
** END OF FLASHBACK***.

Dristan's pov Ilikua ni ijumaa tulikua tumekaa class na Torryn tunafanya assignment kweny laptop yang , "Torryn unaweza kupay attention kwemy kaz mbele zaid tofaut na cm yako ,unashida gan kwan ww Leo ""Ah kaka sielewei nifany nin ""Unashida Gan" ...

Oops! This image does not follow our content guidelines. To continue publishing, please remove it or upload a different image.



Dristan's pov
Ilikua ni ijumaa tulikua tumekaa class na Torryn tunafanya assignment kweny laptop yang ,
"Torryn unaweza kupay attention kwemy kaz mbele zaid tofaut na cm yako ,unashida gan kwan ww Leo "
"Ah kaka sielewei nifany nin "
"Unashida Gan" nilimuuliz Torryn huku nikiichukua cm yake na kuangalia anachofanya
"Amara!?" Nilisoma kwa saut jina lake baada ya kuona alikua amefungua conservation za yy na Amara lakin hajatuma kitu chochote
"Ndio kaka nahis am ..nime__ nimee_" Torryn alijishika shingo akainama chin na kisha kuniangalia tena ,
"Umefanya nin ,mbon km unawas was ,kuna kibaya umefany au "
Nilimuuliz nikiwa namuangalia uson kwa umakin lakin Torryn alibak anajikuna kichwa
"Hey hey vip kwan ww sikuelewi ujue "
Nilimuuliza ten Torryn , alikaa kimya km dk moja na kisha akasema "nimempeda kaka"
😲😲😲nilibak mdomo waz nilishangaa na kisha nilicheka sana
"Hahaha yan mda wote huo kumb ni hili ,hongera bhn ,sas ndio unatak umwambie kweny cm bob"
Torryn aliniangalia ty bila kunipa majib
"Sas ckia , muambie kesho mtoke date na kisha ndio umwambie , kwenye cm hv unafel mshkaj , unatakiw umwambie face to face , unapo confess uone sura yake inavyokua ,hyo itamvutia zaid ,kweny cm sio romantic kwanza ,be a real gentleman , lakin bila kasahau ty uwe makin ,ctaki uumie tena "
Torryn aliangalia na kisha akanijib " duh kaka saw ila unajua naogopa "
" Torryn unaogopa nin ,we mwanaume hat akikataa hyo ni kawaida kwa mwanamke hat km atakua na hisia na wew lazma kidog asite hawez kubal moja kwa moja "
Torryn aliniangalia na kuchukua cm yake ambayo nlikua nmeishika  ,alipoitoa lock na kuangalia tayar nlikua nmeshantext Amara na kumwambia kesho yake watoke date achague sehem na mda pia,  Torryn alibak anashangaa na kisha akanyanyuka na kuondoka
" unaend wap sas "
"Kulala"
Bas namm niliamka na tukaondoka had kweny apartment yake .
" amejibu?" Nlimuuliz kam Amara amemjib
"Hapana "
"Ucjali atajib ty atakubal for sure "
      
ITAENDELEA

MY LEFT SIDEWhere stories live. Discover now