MY LEFT SIDE 13

0 0 0
                                    

SEHEMU YA 13    Alicia pov   Nilikua nikiskiliza Brayson akibwabwaja bila kumaliza , Amara alikua akimjib   "Alicia mbon wewe hujib ananijib Amara pekee nimekuja hapa kwaajili yako kwa nia  njema ty , kwanz mbon mko hap " " Unafkiri ni kwann tuko ...

Oops! This image does not follow our content guidelines. To continue publishing, please remove it or upload a different image.

SEHEMU YA 13

   Alicia pov
  Nilikua nikiskiliza Brayson akibwabwaja bila kumaliza , Amara alikua akimjib  
"Alicia mbon wewe hujib ananijib Amara pekee nimekuja hapa kwaajili yako kwa nia  njema ty , kwanz mbon mko hap "
" Unafkiri ni kwann tuko hapa, haikuhusu ondoka zako" nilimjib kwa kufoka,
" Sas mbon unafoka nimekuja kuwap kampan bas nakaa kimya " alijib Brayson na alikaa kimya tukiendelea kuangalia ratiba za party zilivyo nilikua bored sana kwasabab sijazoea kukaa sehem km hyo na hasa ilikua na wafanya biashara na watoto wa kitajir , na wengine familia yote , nilijiskia kuchoka kwasabab ya viatu nilivyokua nmevaa hvyo ilibid niangalie sehem nzur ya kwend kukaa nipumzike ,
"Amara nimechoka , naenda kukaa " nilimwambia Amara ," saw namim kuna mtu nmemuona namfaham ngoj nikaongee nae kidog nitakuja badae " bas alinijib na Kisha kuondoka , namm nilianz kuondok lkn Brayson hakuniacha "hatimae rafki yako kaondok katuacha pek yetu tuongee sas "
" Unatak tuongee nin ? "
" Alicia tukae kwanz upumzik ngoj nikuletee kinywaj urelax saw" , Brayson alindok kufata kinywaj lakin kiukwel niliona shereh chungu , sion hat ni nin kilichonileta zaid nmekutana na ex wang , nilipofika kweny kiti nilikaa na kuanza kuvua viatu vyang ili miguu ikae saw kwa mda ,wakat na nyanyua kichwa nilikutana na sura ya Dristan ikinitazama "nawew vipi ten had huku upo Yan upo kila mahali unanifatilia au?"
" Mim nikufatilie wew ! Kwanin ?"
" Bas saw ucku mwem Dristan " nilimwambia na kuchukua viatu vyang na kuanza kuondoka nikiwa natembea bila viatu , gafla nilijikuta hewan , nilishtuka na kuangalia nilikuta ni Dristan amenibeba , alinikonyeza na kutabasam
"Dristan nishushe watu wanatuangalia" nilimwambia huku nimekunja sura , lkn hakujal aliendelea kutembea , kila mmoja ukumbin alikua akituangalia Amara alikua akitabasam na kushangaa pia lkn rafki yake Dristan alionekan kurelax hakushtushwa na chochote , Brayson alibaki akitazana akiwa ameshikilia vinywaj akionekan kuchukia ........

SEHEMU YA 13    Alicia pov   Nilikua nikiskiliza Brayson akibwabwaja bila kumaliza , Amara alikua akimjib   "Alicia mbon wewe hujib ananijib Amara pekee nimekuja hapa kwaajili yako kwa nia  njema ty , kwanz mbon mko hap " " Unafkiri ni kwann tuko ...

Oops! This image does not follow our content guidelines. To continue publishing, please remove it or upload a different image.

MUENDELEZO SEHEMU YA 13

Tuliendelea kutok nje , tukiwa tumekaribia kutoa nje niimuona Amelia akituangalia na Kisha kumuangalia Dollyie , tulifika nje "Dristan nishushe sas inatosha " alikua amenibeba bridal style , aliniangalia ty na kuniambia " ah acha zako najua umefrah kubebwa na mkaka mtanashat ten mbele za watu hauna haja kujifany hujafrah , hay nitakup ofa pia ya kukupelek nyumban"
Aliongea akielekea kweny gar aina ya Mercedes Benz , "hii gar ya nan" nilimuuliza "ni yangu , vip umeipend"
" Nishushe nitachukua tax "
" Unaona aibu ? "
" Hapan"
" Sas kwann hutak nikupelek "
" Ni maamuzi yang "
" Huwez kuwa na maamuz ya hvyo , la! Unaona aib au kuna Cha zaid ya Hilo"
" Kipi kingine "
" Km hakipo bas kubal kuingia kweny gar nikupeleke" ,tulikua tunabishan mda wote huo  akiwa amenibeba ilibid nikubal " bas nishushe , unategemea milango itajifungua"
"Fungua nikuingize , hujavaa viatu sio vzr kukanyaga  chin" ,  nilifungua na Kisha akaniwek kweny seat '''''anasifa sana, cjawah kukutan na mwanaum hana akili hv , cjui anawaza nin '''''''' niliwaza kimoyo moyo nkiwa nmekaa nasubir aingie kweny gar alikua , badae niliangalia nje na kumuona anaongea na cm gafla alimaliza aligeuk kuja kuingia namm niliangalia nje ten upande niliokua nmekaa nikamuon Brayson akiniangalia niligeuza kichwa na kuangalia mbele nilishangaa Dristan alinisogelea na kupitish mkono wake upande wa pili nilirud nyuma nkiwa nmetoa macho nikamshika kichwa chake na kumrudish kweny seat yake " unafanya nin wewe kiaz "
" Kua mpole kwann unaniita kiaz sas , nachukua mkand nikusaidie kuufunga maan naon wew umeshindwa kuufunga"
" Asante lkn ungenikumbusha ty " 
Niliangalia nje ten na kumuona Brayson akiwa amesimama pale pale akituangalia , Dristan aliwasha gar tukaondoka . Tukiwa tunaendelea kwend txt iliingia kweny cm yang nilipoangalia ilikua ni kutoka kwa Amara " licy uko saw ?, huyu rafki yake Dristan amenibana hapa cjui anashida gan"
Niliisoma na Kisha nikamuangalia Dristan .....

MY LEFT SIDEWhere stories live. Discover now