MY LEFT SIDE 21

0 0 0
                                    

SEHEMU YA 21

Oops! This image does not follow our content guidelines. To continue publishing, please remove it or upload a different image.

SEHEMU YA 21

Nilipitaka kuongea Dristan aliniziba mdomo na mkon wake na kisha akaniangalia kwa ukarib bila kupepesa macho mapigo ya moyo yalianz kwend mbio nisielew cha kufanya ,
"Tunaend "Dristan aliniambia na kisha akarud nyuma kukaa alivyokua amekaa mm pia nkakaa vzr tulimaliz kula na tukaanz kuondoka kwend kuchza game ,kwanz tuliend kweny game za kuendesha magar Dristan alikua akinifundish lkn akil yang haikua saw kbsa ndoto nliyoita ilikua inajirudia rudia
"Alicia " aliniita
"Abee"
"Kua makin"
"Sawa"
Tuliendelea na baada ya mda mawazo yalianz kupotea nikaanz kuinjoy tulishinda mission nying ,bas yy alichoka mm nkaendelea kuchez niliposhinda nilimgeukia na kunyanyua mkono ili tugonge hi five lakin nlichokiona ckutarajia nlibak nashangaa nisiamin nachokiona Torryn akimskiss Amara  ,Dristan alipoona nashangaa san aligeuka nayy akaona alinigeukia na kisha akajizinga kwa kichwa chake ndio nikashtuka nikakaa vzr ,nikanyanyuka
"Unaend wap "
"Kutaft maj "
Aliamka na kiusem twende wote tukaondoka na kwend kununua maj na baada ya hapo tukakaa ,hakuna aliemsemesh mwenzake kwa mda

"Alicia leo mbon kam haupo saw "
"Kivipi solo saw"
"Ni kam ulikua unaniogopa"
"Uh hapana sio hvyo ulihis vibay "
"Kweli?"
"Ndio"
Tulikaa kimya ten alipotaka kuongea ten ,Brayson alitokea , nilishtuka san nkakumbuk ten nlichokiota nikaanz kuwaz ten
"Alicia mambo "
"Pow"
"Nakuona umetulia "
"Mmm"
"Kesho unaweza pata mda tupate dinner"
Dristan aliekua pemben alianz kupanick
"Hapan"
"Lin upstate?"
"Sitopata"
"Alicia usinifanyie hyo"

Hatimae Dristan aliongea "oy oy hion hatak "
"Hayakuhusu na naongea na Alicia "
"Kwan si ameshakujib hay ondoka "
"Nisipoondoka utafanya nin "
"Oh unatak kujua nitafanya nin "
"Ndio"
Nilipoona wanazid niliipiga meza
"Nyie ni watoto " walikaa kimya na kuniangalia Brayson alijatib kutaka kunisemesha nilimkatiza
"Hapan Bray haiwezekan Dristan tuondoke " tuliamka na kumuacha Bray akiw amekaa , nilitoa cm na kumwambia Amara naelekea nyumban akanijib "ok"

"Dristan ninaenda nyumban ,so bye ""Naomba nikupelek "'Hapana ucjali nitaita usafir niende ""Naomba nikupelek mm kwann sas uite usafir ,alf hat mm sinapakwend kwahy nikiend naww nitapat mtu wa kumaliz nae siku ""Bas saw "Dristan aliend kuchukua ga...

Oops! This image does not follow our content guidelines. To continue publishing, please remove it or upload a different image.

"Dristan ninaenda nyumban ,so bye "
"Naomba nikupelek "
'Hapana ucjali nitaita usafir niende "
"Naomba nikupelek mm kwann sas uite usafir ,alf hat mm sinapakwend kwahy nikiend naww nitapat mtu wa kumaliz nae siku "
"Bas saw "
Dristan aliend kuchukua gar yake nikaingia tukaondoka tulifika hom tulikaa tuliangalia movie na baadae tukatoka nje kweny bustan tukamwagia maua tulipomaliz tulikaa ,wakafik Torryn na Amara tukaa wot tukapiga story na badae wakaondok ,tuliingia ndan tukaoga na kisha tukaagiz pizza ilipoletwa tukaanz kula
"Amara hv mi rafko kwel"
"Mhhh? " Amara aliitika kwa mshangao
"Yan hujanielezea chochote kat yako na Torryn toka cku ile mmetoka dinner"
"Alicia hat mm cjui ,ile siku aliniambia anavyojihis juu yang sikumpa jib ,tulibak tunawasilian kawaid ty ,mpk leo ten tumekutan kwa bahat "
"Enhee ndo mkiss "
Amara aliniangalia na kish akajizib uso
"Alicia hat mm cjui kilitokea nn "
"Kwahy saiv mnadate "
"Ndio ,"
"Oh ulijiskiaj alipokukis"
Amara alimalizia kutaftuna kish akanijib
"Kajarib na Dristan utaelewa "
Nilishtuka nikapaliwa nilikohoa sana nikaacha na kula nikaend kukaa kweny sofa na kuangalia tv ,cm yang iliita Amara aliileta akaipokea na kisha akakaa pemben akinitazam nlishangaa "we vip" nlimuuliza akanioneshea ishara niangalie screen ya cm yag , nilinyanyua mkon nimpige lkn alikimbia ,Dristan alikua amepiga cm imeshapokelew alianz kuongea
"Halloween"
"Oh hallow " nlijib
"Alicia "
"Nambie
"Nimefika nyumban salam kwahy ucjali"
Nilijishik uso na niikainama chin kish nkajib
"Saw ucku mwem "
"Kwako pia " na kish nkakata
Niliwek cm chin nikanyanyua kichwa "Amara usiwe unajib cm zang " lkn Amara alikua akiniangalia huku akionekan kuban kicheko , nilipomwambia hvyo aliachia kicheko akaend kweny fridge na kuchukua apple akaja akakaa akang'ata na kisha akanipa namm nikang'ata ,nilipomaliza kutafuna aliniuliza unaskia lina ladha gan
"Nzuri"
"Nzur eeh "
"Ndio "
"Hahaha Alicia ,Dristan kakupigia akwambie kafika salama .

MY LEFT SIDEWhere stories live. Discover now