SEHEMU YA 27
"Hii hapana ,sidhan km anapend aina hii ya nguo cjawah kuona kavaa "
" na hii je ?"
"Hii pia hapana rang hii haipend "
"Oh hay ngoj tuangalie nyingin .....nadhan hii itamfaa Torryn "
" ndio hat mm nakushaur hyo "
"Saw , vip hii "
" hii Dristan hatoipenda sana inamifuko ming ,ona hapa ilivyo "
" hahaha kwan nmesem ya Dristan " Amara aliniambia nkanyanyua kichwa nkapata waswas nkamwangalia nikachukua maj nkanywa
Amara hakusem kitu akaendelea kunionesha lkn sikusem kitu
"Alicia bas sorry ,tuendelee bas "
"Tumeshapata nguo ya Torryn bado tuendelee nin ?"
" um bado ya Dristan "
"Atachagua mwenyew "
"Bas saw ngoj nimchagulie "
Amara aliendelea kuchagua akaanz kunionesh nguo mbaya mbay ni km alikua anafanya maksud
"Leta " nilichukua cm yake na kisha nkaangalia nguo inayomfaa nikampa cm akachukua na kisha nkanyanyuka "ucku mwema " niliwaaga nkaondoka kwend kulala .Bas kulikucha nikaamka na kuanz kufanya usafi na baada ya hapo nikaend kupika baad ya mda baba alishuka chin kukaa anywe chai nilimuwekea wakat anakunyw mama alikuja harak haraka akamkuta baba anakunywa chai na mm nmekaa
"Ooh kwann hamjaniamsha nikaandaa chai " mama aliongea huku akija pole pole tulipo
"Mama sasaiv npo kwahy ucjali"
" saw bas , za asubuh mme wang "
" nzur mke wang umeamkaj "
"Nmeamk salama "
Bas mam nae aluchukua chai kav akaanza kunywa
"Unajua headquarters sas wameamua kufungua ofic kubwa na sisi saiv tutakua na ofic kubwa sio km zaman na cheo chang kimepanda , kesho tutakutana na mtoto wake anakuja kuangalia mazingira na km kunakitu hakipo saw atashughulikia na miradi mipya ambayo tutaanza hv karibun "
Tulifrah sana mama aliamka na kwenda kumkumbatia baba
"Hongera mme wang kwahy saiv umekua nan "
" sas hv nmekua General Manager kutokana na utendaj kaz wang mzur na kujituma kwahy mm ntakua nasimamia tawi letu "
" hongera sana baba " nlimpa pongez pia na mama alizid kufrah kutoka na kupata cheo kikubwa baba ,
Baba alipomaliz kupata chai mama alimsindikiza .
Bas mama alimsindikiza had nje baba aliondoka ,
"Mwanangu inatakiw twend sokon tukanunue vitu tumfanyie sherehe baba yako kwa hatua kubwa "
"Saw mama " nlikubal na kuanza kuelekea chumban kujiandaa nkakutan na Amara nae akija seblen
" nmeskia nmesem sherehe au ?"
"Ndio shereh bab kapandishwa cheo mama anatak tumfanyie shereh"
"Oh ni vzr"
Bas nkaendelea kwend ndan kujiandaa na baada ya mda nlitoka nkamkuta mama na Amara wanakunywa chai
"Last born hajaamka bado "
" bado " mam alijib na mm nkakaa kunywa chai
Tulipomaliz Amara akasem yy haend ,si vzr akiamka mtoto wote hatupo bas tuliondoka tukaend kununua vitu na badae tukarud .
Tulipika na kupamba nyumba
"Mama kwann hamniambii kunashereh gan "
" unamdomo mref sana mwanang nkikwambia bas utaharib kila kitu "
"Hapana mama sitosema kitu naapa "
"Haina haja hatuwez kukwambia "
Bas mdog wang alizila na kutoka nje
Tulipomaliz kila kitu tulikaa kumsubir baba afike kutoka kazin .
Baba alichelew kidog leo kutokana na majukum kuongezekan na kuanz kaz mpya na maadaliz ya kumpokea boss wao ,
Bas hatimae alifika alikuta wote tumejipanga mlangon alianza lastborn ,akafuata Amara alf mim na wa mwisho mama
Alifika akaw anashangaa
" vipi mmeshindag"
Tuliitikia kwa pamoja
"Salama boss , shkamoo baba "
Alianz kuchek na akiw anaingia ndan tuliinamish vichwa na kisha mama alipokea beg na tukaingia ndan
Baba alipokewa na neno " CONGRATULATIONS ON YOUR PROMOTION"
Alizid kutabasam akamgeukia mama akamkumbatia na kumwambia "asante mke wang "
Tulikaa kusubir atuangalie na sisi aseme kitu lkn ilikua tofaut waliingia chumban
Tukaend kukaa mezan tukiw tunasubir waje ,
Haikuchukua mda wakafika
Bas mdogo wang alikua dj aliwek mzik mama akamshika mkono baba wakaanz kucheza nyimbo zao za polepole za wazee walipochoka sas mdog wang aliwek nyimbo anazopend akaanz kucheza tulucheka sana Amara nae alijarib kuchez kidog****
Mda wa kula ulifika tuliwek chakula meza ya chakula na tukaanz kula ..
YOU ARE READING
MY LEFT SIDE
RomanceDristan na Alicia ni wanafunz wa chuo kimoja kikubwa katika jij la Dar es salaam ,Dristan alivutiwa na Alicia bila ya kujua kutokana na sakata lililokua linaendelea baina yake ,Alicia pamoja na kiongoz wa darasa lake .