38
Niliamka nikamfungua mlango wa gari
Amara : Dristan mambo
D : safa tu Amara ,rafk yako yukwap
Amara : sielew yuko wap ,haijawah tokea kitu km hiki ,sijui atakua wap ,saiv hapatkan kabisa ,Dristan umemuumiz san Alicia ulikua unaon vituko vya mwanamk wako wa zaman lkn haukufany kitu , assume Alicia afanyiwe hvyo na Bray na akaekimya utajiskiajD : Amara pls ndo unasem nn sas ,najua nimekosea ,
Amara aliposem hvyo nlicahanganyikiw zaid ,kifua kilibana ,moyo uliuma nilianz kupata mawazo au yupo kwa huyo mwanaume ,nlishika kichwa ,nilihis kijasho chembamba kinanishuka ,nilichangakyikiwa nisijue cha kufanya ,niliingia kweny gar bila kuaga nikafunga mlango na kuondoka , nliskia km Amara ananiita ila sikumjal akil yang haikua saw kbsa
Niliend kila tulipowah kwend na Alicia lkn hakuwepo , niliwaz nimpigie baba yake ila niliogopa kuwapa was was ikiw hawajui chochote ,
Niliamua kwend kununua chupa moja ya wine nikaend ufukwe wa bahar nikapat gar na kisha nikaanz kunywa , nilikua najiskia vby san kwasabab sikua najua Alicia yuko wap ,anawaza nn , maamuz yake nn had muda huu , nilion ninywe angalau nsahau km kidog nkij kuamka lbda atakua kapatkan .*** *****
Nilikuja kushtuka tyr ni jion ,nilitok kweny gar nikachukua na maj nikanaw uso nikanywa ,nikakaa hapo juu ya gar nikiangalia mawimb ya bahar na usiku ukiwa unaingia, nilikaa san ty niaielew cha kufanya ,ilifik mida ya sa mbil kasoro hv nliingia kweny gar nikachukua cm nilikuta missed call nying san kutok kwa Amara , Torryn , sikuona kutoka kwa Alicia bas nlijua bado kachukia nilizima cm ninawasha gar na kwend had nyumban ,niliwakuta wote niliwasalmia na kisha nikaendelea kuelekea chumban kwang lkn baba aliniita"Naam baba "
"Uko saw kwel mwanang "
"Nipo saw baba "
" njoo hapa kwanza "Nilirud na kwend kukaa nao , Dollyie alikua zake busy na kikao na designers vinginevyo angekua ameshajifany mjuaj ,nlishukuru kwa hilo. Niliend kukaa ili nimskie baba anachotak kuniambia
"Dristan hat mm nakuona haupo saw ,angalia hauelewek ,ni km unanuka pombe , angalia kichwan ulivyo ,unashida gan ,tuambie wazaz wako , hat sura yako imeshuka x alisem mama"Mama nikiend kuoga mi nitakaa sawa ,msijal mi nipo saw "
"Dristan kaoge jiweke saw ,urud useme unashid gan " baba aliniambia na kisha nikaamka na kwend chumban kwang ,
Niliingia lkn niliona kuna mtu amelala kitandan kwang amejifunika nilijua itakua ni Torryn bas nlipitiliz had bafun nikaend kuoga nilipomaliza nikatoka nikiw nimejifunga taulo na nyingine kiunon , nilipotok nilipotok nlikuta Alicia akinusa nguo zang nilizokua nmevaa ,nlishtuka sana kias na kitu cha kwanz nilishika taulo yang kiunon nikaifunga vzr
"Alicia " nilihis km ni malue lue nilirud bafun nikanaw ten uso nilihis lbda pombe bado haijaisha niliporud nlikuta kasimama"Unamatatizo gan Dristan , alf ulikua wap" Alicia aliniuliz lkn mm nlikua naona km sio kwel ,inawezekanaj aingie hum ndan na hakuna anaejua ,amepajuaj hapa
Alicia alipoona nipo kimy alisogea akanishika , nikamuangalia na nikamkumbatia kwa nguv ,nilivuta haruf yake niliyokua nmeikumbuka san ,nilijiskia vzr ,mwil ulikua mwepes ,kifua nacho kiliachia , nilijiskia fraha na aman ,ni km mzigo uliokua kichwan nmeutua , nilimkumbatia kwa mda na kisha tukakaa kitandan"Alicia umeingiaj hum"
"Dada yako kanisaidia "
"Ulimpataje dad yang "
"Dristan nmekuuliza ulikua wap ,unapigiwa cm hupokei message hujib ,nguo zinanuka pombe "
" Alicia hat we jana ulikua wap nmekupigia sana cm hupokei mara hupatkan , najua nlikosea lkn adhab uliyonip ni kumbwa san, nilikua njia pand nisijue nn cha kufanya ,sijui uko wap ,unawaza nin ,au nn kimekupata , umenipa wakat mgum sana ""Nisamehe pia sitorudia kufanya hvyo "
"Alicia km itatokea tumekosan usinikimbie ,nifanye chochote lkn uaipotee km hv , au unatak nichanganyikiw"" hapana Dee lkn hat ulichofany kilinifany niwaze meng sana ,lbd hunipend upo namm kumuumiza au kumpa wiv , nilikua nawakat mgum nkatak mda wa kuwa pek yang nijifkirie "
" umeniitaje kipenz "
"Dee"
Aliporudia bas nilimkis na kisha nikaamka nikachukua nguo na mafuta nikaend bafun kuvaa , nlipomaliza nlitoka nikamwambia asubir kidog ,nikaend chin had jikon , mama na baba walikua wananiangalia nilichukua chakula chang na kisha nikawaambia naend kula chumban
"Wew Toka lin unakula chumban , mbon umebadilik gafla "
Nilimskia baba akisem lkn sikusimama niliendelea kwend had chumban
"Hay mama ang tule kwanza ,ninanjaa sana mwenzako " Alicia aliniangalia akatabasam tulikula tukiwa tumekaa chin tukipiga ctory baadh lkn Alicia alianz kuongelea course work
"Ah naomba tusiongee masomo kwa leo kipenz ,mama ang ww kila mda na masomo ty ,niambie jana ulikua wap "Alicia alichek na kisha akanijib "niliend kutembea tembea ty kupoteza mawazo ,kuna sehem nilifika nikakaaa baada ya mda nakuja kushtuka kuna kijana ananichora ,bas nlichukia ila akaniomba samahan akasem alipend nlivyokua nmekaa akaona ajarib kunichora ,anapend sana kuchora kwahy nikaw nmekaa akanichora na mchoro upo humo kweny bag "
"Kijana gan huyo"
"Simfaham pia Dee "
Bas Alicia kila akiniita hvyo nakosa cha kusem nasahau kila kitu ,niliamka nikatoa vyombo nikavipelek chin na kisha nikarud nikachukua beg lake na kuutoa mchoro , sikuamin kbsa , mwanamke wang ni mzur sana ,kachorwa vzr ,alikua amekaa vzr niliipend nikaanz kuitaftia angle nzur za kuiweka
"Unafany nn Dee"
"Huon nachofanya "
"Pic yang hyo mbon unajimilikisha "
" wap iliandikwa ni yako ,hii ni yang bibie , unaona hii itakaa hapa "Bas Alicia alitabasam na kuniomba nimrudish chuo
"Sas hv nakurudiahaje mama , hat chuo mda huu kwel "
"Ah kwann hukuniambia mda umeend nirud chuo "
"Mm pia nilisahau nakumbukaj naww upo hapa ,na kwahal nliyokua nayo dah naomba usinifanyie hvyo ten mama ang ""Saw naww pia jirekebishe "
"Mm nikeshajirekebisha mbon ,nmekoma kbsa mama ang "
Alicia alichek sana
"Bas lala huk kesho tutatoka wataend kazin kwahy hakuna shida " nilimwambia Alicia lkn alionekana kubadilika ,
"Mim naend kulala seblen ,uasianz kuchukia maan ushabadilika "
"Hapana ,ukikutwa umelala huko "
"Nitasem nilikua naangalia movie nikapitiwa ,wew funga huu mlango saw na usifungue had uskie saut yang "
"Saw bas weka game tucheze kidog "
Bas tulianza kuchez game la kuendesh gar ,nilimfunga Alicia na kila nilipomshinda alikua ananipiga kof ,ila wanasemag kof la mpenz halium nilikua navumilia japo yalikua ya pole pole ila alivyokua akirudia rudia maumiv nikaw nayaskia ,tulicheza sana mpk tukachoka mda ulikua umeend sana na round ya mwisho nilimuachia afunge bas alifrah sana ,nilimpa pens yang na singlend yang avae vya kulalia , namm nikavua ile shat ili nivae nguo za kulalia kumb mgongon nilikua na alama za mikon mwil wang ni mwepes kuvimba Alicia alipoona alishtuk na kuanz kujilaum
"Kwann hukuniambia sas niache ,ona nmekuumiza "
"Kof LA mpenz halium "nlimwambia huku natabasam niliend bafun na kubadil surual na kisha nkatoka
"Ucku mwem kipenz" nilimwambia Alicia na kisha nikamkiss kweny paj la uso
"Ucku mwem pia " aliniambia na kisha akanikumbatia ,nikamkumbatia pia na kisha nikachukua shuka na kwend seblen , vyumba vya wagen vilikuwepo ila sipend kulala huko kwahy nilimkumbusha Alicia afunge mlango na kisha nikaend seblen niliwasha tv nikawek saut ndog nakisha nikalala .
YOU ARE READING
MY LEFT SIDE
RomanceDristan na Alicia ni wanafunz wa chuo kimoja kikubwa katika jij la Dar es salaam ,Dristan alivutiwa na Alicia bila ya kujua kutokana na sakata lililokua linaendelea baina yake ,Alicia pamoja na kiongoz wa darasa lake .