Sura ya Pili

136 5 0
                                    


Niliamua kuondoka lakini akilini nilikuwa nikiwaza ni kwa namna gani ningeweza kumpata Evadia. Niliamini kupitia kipaji changu cha kuandika machombezo kingeweza kunirahisihia kazi yangu.
"Lazima nikupate tu!" nilijiambia kisha nikatabasamu.
Nilitoka eneo lile la supermarket na sasa nilikuwa nje, macho yangu yaliendelea kushuhudia wasichana warembo wengi waliyokuwa wakiingi ndani ya supermarket ile.
Macho yangu yalitua kwa mwanadada mmoja ambaye alikuwa akilielekea gari aina ya Land cruser prado lenye rangi nyeusi. Alikuwa na mwili wa wastani uliyogubikwa kila aina ya sifa unazozifahamu. Alikuwa na rangi nyeupe iliyofuatiwa na uzuri wa sura yake ya kitoto. Lipis pana za kunyonya, umbo matata, nyuma alikuwa na chura kubwa. Kwa kweli nilipomtazama nilimtamani ghafla! Na ni hapa ambapo mawazo yangu yalihama kabisa mahali pale, yakanipeleka tayari nipo chumbani kitandani sita kwa sita na yule mwanadada tukijiandaa kwa ajili ya mechi.
"Wewe kaka vipi?" sauti nyororo ya yule mwanadada ilinishtua kutoka katika yale mawazo yangu.
"Yes! Naam," niliitika katika namna ya kukurupuka huku nikijishtukia, mtarimbo wangu ulikuwa tayari umesimama.
"Mbona unanitumbulia mimacho muda wote?" aliniambia kwa sauti laini iliyozidi kuniamsha hisia zangu zilizowahi kulala usingizi wa wahenga.
"Kwani kuna ubaya nikikutazama?" nilimuuliza huku nikimtazama usoni, alikuwa na macho ya kurembua.
"Hakuna ubaya lakini wewe umezidi kha!" aliniambia huku akiibetua midomo yake, alizidi kuonekana mrembo sana.
"Duh! Siamini," nilimwambia huku macho yangu yakiendelea kutalii vyema kifuani mwake, alikuwa na chuchu zilizochongoka vyema mithili ya kifuu cha nazi.
"Huamini nini?" aliniuliza kisha akawa kama ananitazama kwa kizembe.
"Hivi kumbe Tanzania bado kuna wasichana warembo?" nilimuuliza swali la kizushi lililomfanya anishangae kwa muda.
"Warembo, kwani umesikia hawapo?"
"Nina miaka kama kumi hivi sijawahi kumuona msichana mrembo kama wewe, wote naishia kuwasoma katika simulizi," nilimuambia maneno yaliyomfanya atokwe na tabasamu pana lililotengeneza vishimo vidogo mashavuni mwake.
"Hee! Kumbe unajua kuficha siri hivyo?" nilimuuliza huku nikijifanya kama nimeshtuka kwa kuona kitu ambacho sijakitegemea.
"Siri gani?" aliniuliza.
"Nimesimama na wewe muda wote huo kwanini usiniambie kuwa una dimpoz?" nilimuambia katika namna ya kumuuliza swali la kizushi lililomfanya atokwe na kicheko.
"Mbona unanicheka sasa?"
"Hapana sikucheki."
"Ila?"
"Umenifurahisha tu."
"Halafu hujaniambia kitu?"
"Kitu gani?"
"Jina lako?"
"Oooh! Sorry naitwa Precious."
"Precious ndiyo jina lako?"
"Ndiyo Precious Kamba."
"Aliyekupa jina wala hakukosea yani limefit mahali pake."
"Hahahaha kwanini?"
"Jina zuri wewe mwenyewe mzuri."
"Asante na wewe unaitwa nani?"
"Mimi naitwa Akili za wote."
"Ndiyo jina lako."
"Ndiyo."
"Unaishi wapi?"
"Tandale kwa tumbo."
"Tandale?"
"Ndiyo kwani vipi?"
"Hamna!"
"Sawa."
"Haya kwahiyo unaingia au unatoka."
"Nipo katikati."
"Niambie bhana ili nikupe lift kama hutojali maana naelekea Magomeni napitia Tandale."
"Dah! Nashukuru Precious umeiokoa nauli yangu ya ngama maani sisi wengine kuja supermarket mpaka sikukuu kwa sikukuu," nilimwambia Precious kisha akacheka. Tulipanda kwenye gari na safari ikaanza hapo, barabarani hakuna nilichokuwa nawaza zaidi ya mapenzi, Siku hiyo nilipanga niende na Precious mpaka nyumbani kwangu japo alionekana kuwa mwenye haraka mno.

Tafadhali acha Maoni yako au upigie kura

Nifanye Na Mimi Kaka Dick.  Na Juma Hiza    Where stories live. Discover now