Utangulizi.

80 6 0
                                    

Hiki ni kitabu changu cha kwanza kwa lugha ya kiswahili.Ukosoaji na urekebishaji wa neno au aya yoyote unakubalika ila haijakubalika kukipiga picha kukiuza au kukitumia kitabu hiki kwa njia yoyote ile bila ruhusa ya mwandishi na wachapishaji.

Hii ni hadithi inayoangazia maswala yote ya kijamii na matendo ya viongozi wanaotawala na wazalendo wanaotawalwa. hadithi hii haina picha wala maneno yanayokiuka sheria na itikadi za kibinadamu.

Asante na furahia kuisoma riwaya hii.

Kitabu hiki nimewazawadi wazazi wangu na Familia yangu kwa kunipa motisha

Ipo Siku Where stories live. Discover now