USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFU

9 0 0
                                    

SEHEMU YA 3
Gari la mizigo pale kijijini muchangwana baba huyu alikuwa mchesh mno na kujituma kwake likatokea la mgambo cku moja katika kijiji ichoo bac watu wakakusanyika kwq uwing kusikiliza nyumban kwa mfalme nn kimetokeaaa bila kuficha yalisomwa majina kama ifuatavyo Kifaruhande makweee(anaitika) Mwita makwee Bushiri makweee mwampuro makweee Uwezoo m...mh kama alisita ivi kuitika Uwezoo mara ya pili kelele za wananchi zikasikika aaa jaman na huyu atafanyaje ndo ivo..Uwezoooo mara ya tatu makweeeeee aliitika kwa hasira kwan alijua tuuu kuwa sasa mm bac naenda kufa kweli msemaji wa mfalme akatamgaza kuwa hawa wameteuliwa na mfalme kwnda kutafuta uhai wa ndugu yetu mfale daaaa inasikitisha woote waliochaguliwa walikuwa wakilia na kutokwa machoz kwakuwa wanaenda kufa na kuacha familia zao na hii ndo sababu kubwa iliyomfanya Achia njia ashindwe kwenda katika kijiji hicho kutafuta dawa ya kaka yake ambaye n mfalme.safar ilianza wakiacha familia zao zikiwa na huzun nyingi na pia kutokana na umasikin uhaba wa chakula walipewa chakula kidogo kwaiyo kutokana umbali wa kijiji hicho watu hufa njia na wengine hufa wakiwa wamefika kwa njaa au madubwana ya huko katika safar hii Uwezo ndo aliyekuwa mtu wa kwanza kufa kwa kadri unavyoenda hali inabadilika bac wale woote waliza kupoteza kule kule na kijiji kinatambua kwa muda wanaokaa huko hivyo...itaeendelea
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUWhere stories live. Discover now