USHUJAA WANGU ULIPA UMAALUFU

8 0 0
                                    

SEHEMU YA 2
Kumbe kwa kipind choote icho cha mateso makali taaaabu shujaaa wao ambae ni mfalme hali yake haikuwa nzuri alikuwa akisumbuliwa saaaaana na ugonjwa wa ajabu bila tiba kwa muda murefu wasimamiz ndugu zake ambao in kaka yake aliyefahamika kwa jina la Achia njia kwann alijiita ivooo katika kijiji hichi japo kuliwa na njaaaaa Kali na shida nyingi mnooo kama wasemavyo jungu kuu halikosi ukoko kuliwa na mashindano ambayo mfalme alipenda kuyataza jambo ni mamaaaaa mungu Wangu jama ataweza kweli hii ni mishangao ambayo walikuwa wakitoa wananchi baada ya Achia njia kuingia uwanjan alishindana na vijana wenzie kupambana na simba wakali wawili walio na njaaaa Kali pia lakin Kila muda Achia njia aliibuka mshindi ndio maana akajiita achia njia lakin watu walijiuliza kwann hawez kumsaidia kaka yake apone?:,baci nawengine wengi kama wafanyakazi katika ufalme wa huyu mfalme aliyejulikana kwa jina la Azonto kumbe siku zooote mfalme huyu amekuwa akiwachagua baaadhi ya vijana na kuwatuma nchi ya mbali kidogo na kijiji cha muchamangwana katika nchi hiyo kuna kijiji kinaitwa Kufahai hapa katika kijiji hiki ndiko dawa ya kumtibu mfalme inapatikana na ndiko mashujaaa wengi wa kijiji cha muchamangwana wamepoteza maisha yaooo akiwemo baba yake na Inyasi alietambulika kwa jina Uwezo kutoka na uhodar wake wa kubeba mizigo mikubwa hivyo unaweza.....itaendelea.
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUOù les histoires vivent. Découvrez maintenant