USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFU

8 1 0
                                    

Samahan ndugu wasomaj kunawakati mitambo inasumbua hivyo maneno mengine yanakosewa kama hi sehemu ya tatu samahan sana ndugu wasomaj
SEHEMU YA 4
Wanakuwa tayari wamepoteza maisha kweli kijiji hubaki na huzun lakin kumbe katika kijiji hiki cha muchamangwana mke wa mama mazoea aliyejulikana kwa jina Mzanzi mama huyu alikuwa na sifa za kipekee sana richa ya uzuri wake shape yake masharaaaaa iliyowafanya wanaume weengi hasaaaa Mwita agombane na Uwezo ahahaaaa eti kwakuwa alikuwa akimtaman Mzanzi jaman mapenzi daaaaaa hiii ilikuwa ndio siku ambayo Mzamzi alipiga chafya iliotoka na makohozi ya damu ikimaaniaha akijifungua kwa uchunguuu mkali mtoto Inyasi jaamaaaan ahhhqqaaa nakufaaaaaa maaaaaaamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mliohuu ulishitua kidogo kijiji ndipo Inyasi alikiona kijiji cha muchamangwana katoto kazuri alisema wifi yake na Mzanzi lakini punde aaah wifiiii jaman tumbo langu oooo mamaaaangu weeee ooohfuu jaman nakufaaaaa wifi(aliita kwa sauti yaa chini miii..mi.nnnakuufaaa ....mwannnaauunguu..uummmmleeeee...pale pale akapoteza maisha kwa wakati wa kuzaa kwake alitokwa na damu nyingi na hii ndo inatuludisha nyuma kidogo kuona kijiji kina familia moja masikin ikiwa na mjomba shangazi na mtoto ambaye ndo huyu sasa na ikiwa maisha ni magumu Inyasi alikuwa katika maisha hayoo alikonda alidhoofika lakin alikuwa katika halihiyo mpakakufikia .itandelea
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUWhere stories live. Discover now