USHUJAA WANGU ULINIPA UMAARUFU

3 0 0
                                    

            SEHEMU YA 21
Achia njia akiwa mdomo waziii ,,,,wananchi wa muchamangwana wakiwa Ni watu wenye furaha kubwa wakaamua kumbeba Inyasi na kuomba nyimbo za kiluga ,,,,Eeeeeeee mumfu yente
Weeeeee mumfu yente
Kyamula muntu wache
Kyamula muntu wache
Weeeeee mumfu yente
Weeeeee mumfu yente
Kwa machozi ya furaha wimbo ukiuzunishaaaa,,,,,,huku Askari wa MFALME wakiamuliwa na Achia njia ,,,,,,,,mjomba na shangazi yake Inyasi wapelekwe mbele ya wananchi wengine punde ,,,,,mzeee nungunungu anaingia kiwanjani na wanajeshi wa kifalme na wauguzi wa MFALME hukumfalme amebebwa na vijakazi wake,,,kwa Mara ya kwanza toka miongo mitatu na Zaid yupo tuuu ndani ,,,nguvu hanaamedhoofika mwili ,,,nywere zake zimenyonyoka ,,macho yake yamelegea Kama vile Embe dodo juu ya mtiiiii,,,,Achia njia akasalimu Tena,,,,makweeeeeee,,,,makweee umukuru wanted walijibu kwa uwoga  maaana MFALME anatisha kunawalioshindwa kuvumilia waliondoka lakin kikao kinaendelea,,,,,jaman natumain kila mmoja anafurai vyake rohoni ,,,,INYASI AKASHUKA KUTEMBEA KWA MFALME KWA MARINGO HUKU MACHOZI YAKIMTOKA MAAANA ANAJUA SHIDA ALIOPITIA ,,,,NA BAAADA KUFIKA MBELE YA MFALME ASIYEJITAMBUA ,,,,akamuomba MFALME radhi kwa kuchelewa kurudi palepale wadadaa umli wa INYASI wakawa wanamtazama kwa jicho la matanio japo nae alikuwa na vipele kwenye mwili wake,,,,,kila msichana alitamani kuolewa na Inyasi bila kujali tatizo alilonalo Inyasi,,,,wakauchemsha mkia kwa maji afu WAAANDAJI WA CAKULA CHA MFALME ,,,MAMA cheme aliandaa na kumpelekea MFALME anywe ,,akamnywesha ,,,,ghafra mwili ulitetemeka Kama MTU aumwaye pepopunda ,,huku Kijiji kwa hamu kinasubili kuona kinafwata nin juu ya kiongozi waoo,,,,,punde mfalme akafumbua macho yake na kuona wananchi wamejaaaa sononeko la furahaaaaaaaa,,,,,,AMAKWECHE BANTU BA MUCHAMANGWANAAAAAAA,,,,kwa shangwe na ngoma ya ushindi ilisikika. Makweeeecheeeee umukuru wante ,,makwechee umukuru wante,,,,akaitwa mbele Inyasi akapanda mbele kwa mfalme kwa maringo huku Kijiji kinasikiliza kwa makini Nini kinaendelea mfalme akasogea pemben kutoka kwenye kiti chake na kuwadhiirishia wanachi wake kuwa amepona ,,,akamnywesha na Inyasi Yale maji yaliochemshwa na  na mkia wa majitu ya ajabuuu,,,,Kisha mfalme akasema kwanzia Sasa Mimi siyo kiongozi Tena tanguuuuuuu,,,,,kabla hajesema wanachi woote ,,,aaaaaaaaaaaaaahhhhh!!!!??????umukuru wante ,,,,,,wengine walikaa kimyaaa,,,,,,Askari wakawatuliza na pale bila kuchelewa ,,,akamtuma mzeee nungu nungu naomba mlete zawadi nilipokuwa nimeanda kwa SHUJAAA,,,atakaefanya mimi kuwa mzima,,,,,,,, looooooooooooooooo kumbeeee mfalme alikuwa na mtoto wa kike.mschana MREMBO kuliko woote kijijini pale ambae hakuwai toka nje alifungiwa ndani anapotolewa tuuuu ,,,,waaaatuuuu wachete amanzi hwa mukuru,,,NDIPO mfalme akawashikisha mikono Kisha akasema ,,,,,tangu Sasa ,,,,,,,Natangaza kuwa INYASI NDIO MFALME WA KIJIJI HICHI CHA MUCHAMANGWANA,,,,,,Na huyo pembeni yake ndio malkia wake,,,,,Inyasi huku akilia machoziii akasemaaaa,,,,,,itaendeleaaaa
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUHikayelerin yaşadığı yer. Şimdi keşfedin