USHUJAA WANGU ULINIPA UMAARUFU

4 0 0
                                    

SEHEMU YA 14
Kujilinda na maadiu lakini kwakuwa wew umeonesha ukalimu wa hali ya juuu ngoja nikupe dawa kwa msaada zaidi huko uendako maana watu huwa halud aaahaaa bibi aliita Inyasi alikumbuka kuwa katika begi yake ana maziwa na asali basi akachukua maziwa na mikate miwili akampatia yule bibi kuongezea sifa aaa sante alijibu yule bibi na kuingia kwenye kajumba kake na hakuchua muda akatoka akiwa na vibuyu vitatu akamwambia zingatia haya ninayokuambia yatakusaida sawa bibi akamwambia kila kibuyu kina maana yake kwaiyo pindi unapokalibia kupatwa na tatizo angusha chin utasalimika heee sawa bibi asante amemaliza kuongea ameteambea hatua chache tuuu ageuke nyuma alipotoka haa kale kanyumba na yule bibi vimepotea aliogopa sana Inyasi basi aliendelea na safari yake kwa mwendo kasi wa ajabu sana na farasi wake bila kupumzika akipita pori na pori kukitafuta kikiji hicho akiwa njian anaumia tuuu kuhusu ndugu zake .nikweli muda mrefu ulipita tangu kijana Inyasi aondoke kijijin kwao hivyo viongoz wa kifalme wakawatayari kutaka kuwasha mashine ya kuwanyongea watu Aaaaaa jaman ngojeni kwanza huenda akaludi Achia njia alisema wakuu wakatulia kabisa.baasi Inyasi alitembea usiku kucha yapata mwezi mzima na alipokalibia kile kijiji alishangaaa sana kuona hali ya kule c nzuri kuish binadam maaana hewayake nzito ishara ya kuwa hakuna anaeishi katika.itaendelea
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUTempat cerita menjadi hidup. Temukan sekarang