USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFU

5 0 0
                                    

SEHEMU YA 9
Nauliza jamani nani aliye tayari kimyaaaa kwa muda wa dakika tatu na............hajauliza tena mara kuna mtu akanyoooosha mkono na kusimama makweee umukulu yantemaghuntu nayoni ...heeé weeee hahahaaaa jamani nyie kwekwee pumbavu ,hiioooooo huhuu pwapwapwaa..hivyo ndivo ilivokuwa wakucheka wa kudhihaki wakupiga makofi wakuzomea wakuona huruma wooote walifanya ya kufanya hii ni baada ya Inyasi kunyanyuka na kusema yeye ndiye atakaeeé fwata dawa .bac aliombwa apite mbele jaman huruma kwanza alivo vaaa nguo zimechanika chafu kama kinyago kilichokosewa kuchongwa Achia njia aliuliza kwa ukali wew kweli unasema uko tayari makwe mukulu unaweza kweli makwee mukulu huku akiwa na wasiwasi kwani watu walijua ni kichaaa.kwa mara yakwanza Inyasi alikaribishwa. Ndani nyumbani kwa mfalme lakini kwa masharti kwani uongozi mzima wa kifalme uliona kabisa kuwa kijana huyu hawezi sasa wakatumwa askali yaaani walinzi wa mfalme kwenda kuwakamata mjomba pamoja na shangaz yake Inyasi.kweli walitafutwa na kupelekwa moja kwa moja katika jumba la kifalme kuna mzeee mmoja katili kweli aliyejulikana kwa jina la Nungungunungu mzee huyu huwa anatoa adhabu za kuua watu walio kaidi maagizo ya kifalme alisimama na kusema tuambieni ni nani aliyemtuma huyu kijana asiye na mbavu kuja kujionesha bila aibu kuwa anaweza kuwa shujaa na kupata umaarufueee semaaaa.itaendelea
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUWhere stories live. Discover now