USHUJAAA WANGU ULINIPA UMAARUFU

0 0 0
                                    

                        MWISHO
Hakika,,,,,,USHUJAAA WANGU UMENIPA UMAARUFU,,,nashukuru kwa nafasi hiii alionipa mfalme nitamueshimu na kumlinda maaaana amekitoa mbali Kijiji hichi Cha muchamangwana ,,,,kwenye mapambano na vijij vya jirani na mpaka sasa tupo huru,,,,,,nanyi pia nawashauri mfanye kazi kwa bidii na mashujaaa wa Kijiji kuwa na umoja hekima na busara mtafikia kuwa mashuu Kama Mimi,,,,,muchete bhantu ba muchamangwana alisema Inyasi kwa ujasiri wa Hari ya juuu na kuwatia moyo wananchi wake,,,,,,kwa vigeregere na ngoma walirukaruka WATOTO kwa wazeeee ,,,,Basi Inyasi akatawazwa mbele ya wananchi na machifu wakambarikia ,,,,Kisha kesho yake watu walichangia mbuzi kondoo kuku Bata maindi mtama pamoja na ngano mikate kwanamna take ikatengenezwa ,,,,rasmi Inyasi akamuoa binti wa mfalme kwa jina Zureah,,,,kweli aliokuwa mzuri maisha yaliendelea kuwa Safi na yenye furaha,,,,huku mjomba wake na shangazi yake akawapa nafasi ya uongozi pale katika jumba la kifalme,,,baaada ya MIAKA mitatu mbele Inyasi akapa mtoto wa kiume aliempa jina Shujaa,,,nae aliokuwa na kuwa na nguvu ZAIDI kuliko babu yake,,, yaan baba yake na INYASI,,Na KUPENDWA na raia woote ,,,,Kijiji kilimea furaha na AMANI......,

            ,,,,,,,,,,X,  MWISHO,,,,,,,,,x,,,,,,.
Kama umependa story hii,,,tafadhari toa ushauri Nini kiboreshwe na Nini umejifunza pia kipi niongezeee katika story nyingine nyingi Zaid ,,NASHUKURU KWA KUSOMA USIKOSE KULIKE AU KUSHEA NA WENZIO ASANTENI
      

          Imeandaliwa na Mimi
        BRAITONI NDETI SANGA
         0714780803,0766626773
                     0626630221
EMAIL
           lastlypioneer@gmail.com

                         THE END

You've reached the end of published parts.

⏰ Last updated: Jan 16, 2021 ⏰

Add this story to your Library to get notified about new parts!

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUWhere stories live. Discover now