USHUJAA WANGU ULINIPA UMAARUFU

5 0 0
                                    

SEHEMU YA 12
Yakuondoka ghafla!! Mungu wangu hakuamini kile alichokiona mbele yake alistaajabu sana alikuwa ni bibi kizeee yaaaa kikongwe aliezeeeka sana kiasi kwamba hawezi kufanya kazi ya aina yoyote ile lakin sasa kilichomshangaza sana Inyasi kikongwe huyu alikuwa amebeba kichwani mzigo mzito sana wa kuni za kubeba watu wawili kwakweli aliona huruma sana na baaadae akaamua kushuka juu ya farasi wake na kwenda kumpokea yule bibi lakin akiwa anavuta hatua anajiuliza huyu bibi atanielewa kweli lugha yangu huku akiwa na wooga kwani ni msitu mkali hakuna watu wanaoishi sasa huyu bibi atakuwa anaishi wapi?hatua ya nne akawa amemkalibia yule bibi na kikongwe nae hana wasiwasi shikamoo bibi marahaba bibi kwa sauti ya mkwaruzo naomba nikusaidie bibi yangu mh utaweza yule bibi aliuliza na kumwambia mzigo mzito yule bibi alisema ivo kulingana na afya ya Inyasi jinsi ilivyo hapana bibi nitaweza kweli alijikongoja na kupakia mzigo kwenye farasi unaelekea wapi bibi basi yule bibi akaaanza kuongoza huko anakoishi walitembea umbali mrefu kweli kweli mbali na barabara ya kuelekea katika kijiji ambacho dawa inapatikana haaa bibi hatufiki tuuuu ule bibi aligeuka na kumwambia kama umechoka shusha mzigo na uniludishe nianze safari upya ilimbidi awe mpole maana alishaaanza kuingiwa na woga basi kunasehemu wakachepuka ndipo yule bibi akasema tumefika...itaendelea
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUTempat cerita menjadi hidup. Temukan sekarang