USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFU

6 0 0
                                    

SEHEMU YA 16
Jaman hii nin jaman mbona sielewi kweli aliendelea kusogea taratibu mpaka ndan kabisa kwa uoga sana yaaaan mule ndani mlikuwa mnaharufu mbaya sana ya kuchukiza misil ya mzoga jararani akiwa katika wazo kuwaza namna gan anaipata dawa aliotumwa ghafla alisikia upepo mkali ukivuma nje ya lile jengo....mara mlango ukajifungua kwa speeed sana vuu hahahaaaaaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaa huhu griiii druuuu sauti ya majini(mapepo) yalikuwa yakicheka maaana yamelud na nyama za watu na baadh ya wanyama poli yalikuwa mengi kidogo katika jumba lile mara lraaap sauti ikasikika kumbe inyasi alikuwa anajisogeza huku akiwa chin ya zile damu huku kabana pumzi yake pale pale Jini moja dogo lingaongea mkuuu nasikia halufu mbich ya mtu lile jini kuuu likakataaa bhana atoke wapi mtu huku yule jini mtoto akapalaza damu kwa kucha zake ndefu daaaa Inyasi aliogopa na kutetemeka sana basiyule Jini mkuu akambia hawapo tulalale bac kesho tunawaaamkia na kuwatafuna wooote japo kalilala lakinkwa hasira kwan kalijua kabisa kunamtu mle ndani ilipofika usiku saaaana majin yale yamelala fofo Ingasi aliamka gruuuungrooooook aliogopa sana maana yalikuwa yanakoroma hivyo yanatisha mno basi taratibu alisogerea maeneo alikuwa amelala jiran na mkuu wa majin akachomoa kisu chake kidogo taratiiiiiiiibu akaunyanyua mkiawa lile jin na kukataule mkia kwakuwa ni makubwa..itaendelea 0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUWhere stories live. Discover now