USHUJAA WANGU ULINIPA UMAARUFU

5 0 0
                                    

SEHEMU YA 17
Mnoooooo halikuweza kusikia maumivu yoyote.kudu kudu kudu kudu kudu haya ni mapigo ya moyo ya bwana Inyasi alipomaliza tuuu kuukata ule mkia taraaaatibu alianza kutoka njeeeeeee ndruuuuuu drooooogruuuuuu huku yale majini yakiendelea kukoloma.alifanikiwa kutoka akiwa amelowa damu akatembea kwa haraka na giza la saaa 11 asubui akielekea kule aliko muweka farasi alipofika tuuuu baati nzuri kulikuwa na kijikikisima kidogo akajisuza damu bila kuchelewaaaaa akapanda farasi wake tayar kwa safar kabla hajaondoka ulisika mlio aghaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mlio mkali misili ya simba dume alie na njaaaaa .kumbe ni jini kubwa linalalamika maumivuu makali baaada ya kukatwa mkia lile jini dogo me nilisema kuna watu humu mkanidhaarauu mnesikunte pont ankole lyasantani alikhun idyaniio lilioongea jini kubwa kwa maumivu na sauti ya nguvu mno kwamba akamate na aliwe nyama kama wengine eee.huku nyumbani kwa mfalme tayali mzeeee Nungu nungu anasubili tamko kutoka kwa Achia njia kuwa huyu mtu haludi tena watu hawa wanyongwe tuuuu lakin Achia njia akasema mbona safari hiii ninawasiwasi juu ya hawa watu hebu tuwape cku hizi chache tuone mzee Nungu nungu apana bwana kashaliwa uyo mpaka leo hiii miez miezi minne sasa na sku aaa bwana tusubili huenda tumain lipo alisema kwa shingo upande mzee Nungu nungu.huku Inyasi akiwa.itaendelea
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUWhere stories live. Discover now