USHUJAA WANGU ULINIPA UMAARUFU

1 0 0
                                    

SEHEMU YA 20
Baaada ya la mgambo kulia katika kile Kijiji wazeeee na laia wengine waliwai mapema Sana kwenye kiwanja Cha matangazo sherehe na mikutano yaaa Kijiji Cha muchamangwana watoto walikuwa wamewai kusombelea maji na kuni kwa ajili ya kupikia pombe Kama kiburudisho huku kikao kikiendelea,,,,,Mara tuuu baada ya watu woote kuwasili ikasika sauti ya Achia njia,,,makwee Bantu vante muchamangwana,,,,alikuwa akiwasilmu ,,,makweeeeeee umkuru wante,,,,,walijibu wanakijiji Mara punde tuuu baada ya kuwasarimu akasema jaman nataka niwaambie Jambo muhimu kuhusu MFALME wetu,,,kwa Sasa Hali yake Ni mbaya Sana mpaka sasa inapelekea kupoteza tumaini la kuwa ataishi,,,,,,khane umkuru vhaneshe ,,,,woote wanakijiji walijawa na simanzi kubwa Sana sura zao zili kunjamana kwa huzuni kubwa,,,,,WAKIWAZA watapata wapi kiongozi Bora Kama MFALME wao ,,,,maana alikuwa akisaidia kijiji kupambana na njaaaaa,maadui,wanyama Poli,,,kwe watu walilia kwa taarifa hizo,,,huku inyasi akiwa Yuko katika mwendo Kasi wa ajabu farasi amejawa na woga anakimbia misiri ya gari ilio kata breki Kati ya kijimtelemko kikali huku akijiuliza ,,,,,sijui nipite kwa Yule Bibi alienipa vibuyu ,,,,kwa msaada aliopewa aliona vema tuu apite ,,looooo mazingira Ni yale Yale maaaajabu anaona hakuna kinachoonekena yaaanu,,nyumba hamna Ila Pandora majan na miti midogo aliogopa Sana akajiuliza saana jaman Bibi uko waaapi naomba nikushukuru kwa msaaada ulionipatia ,,,,,Mara,waaaaaaaashhhiiiiiii upepo mkali ukavuma mbele yake akatokea Yule Bibi vile vile kabeba mzigo wa kuni,,,kijana hekima yako ndo liziki yako Wai nyumban kawakomboe ndugu zakooo maaana ukichelewa Zaid wanauwa woote WAWILI,,,,,,,hukuwatu wakiendelea na sononeko la MFALME kuumwa bila kupona kwa muda ,,,,Achia njia akatangaza Tena Leo katika IBETHE(sehemu ya kuongea watu),,leeooo hii tunawanyongelea mbali mjomba na shangazi yake Inyasi maana tumesubil Sasa MFALME anakufa kwa kusubili MTU Alie kufa,,,,pundeee wakaletwa mbele ya watuuuu na kuning'inizwa kwenye kamba za kongea ,,,,,tantemorokyaneleeeeleee ,,watu walishaangaaa kuona wamekonda sura zao zimechoka Kama maajuza wa kale,,,Kwan walikuwa wanakula chakula kwa taabu Kijiji kilitawaliwa na ukimya waaaa muda watu wakitoa MACHOZ,,,,lakin mzee mura akanyooo mkono samahani,,,,Basi Inyasi hakusubili alianza safari ya kwa Kasi aliogopa Yale alioyashudia katika safari yake anakimbiaaaaa saaanaaa anapokalibia katika Kijiji chake ,,,mkuru ungewapa muda tuuu huenda akafika leoo,,,,e3eeeeeenteemole ,,,,alifoka mzeee Nungunungu Mimi nachinjaa kwanza akawachagua askali watatu wamkamate na Yule mzeee nae akiwekwa kitanzini,,,,huukuuu kwa speeedi ileile anaelekea kijijini pake,,,mzeee Nungunungu akawachagua askali wawili waende kuangalia balabalani Kama Kunachochote wanaweza kuona Askali mmoja akaludi na kutoa taaaarifa hamna chochote,,,,,mzeee Nungunungu akasogea kwa majigamb o ile sehemu ya kunyongea hukuu wananchi MACHOZi yakiwatoka kwa huzuni kubwa ,,,,,ndo anasari ili awanyongee wananchi wanalia lakin vilio vyao havikuweza sikika masikioni kwa mzeee nungunungu,,,,akazisogelea zile nanga na kutaka kukata kamba,,,,,mpaka mtetetemo wa ardhi ulitetemesha Kijiji Yule askali aliyebaki alikimbia na kusema nimeona vuuumbi tuuu WANANCHI WOOOTEEEE KIMYAAAA MARA WANAONA MLIO WA MIGUU YA FARASI IKISIKA KWA MBALI ,,,,,muda si mwingi Inyasi akawa anatokea kashika mkia mkononi alikimbia mpaka uwanjani,,,,,wananchi hawakuamin INYASI aliendelea kujirusharusha juu ya farasi wake akifuraia ushindi ule Mzee Mungu Mungu akiona aibu akawatoa haraka mjomba na shangazi yake Inyasi kwenye eneo la kunyongeawoooteeeee wabnanchi huzuni iligeuka furahaaaaaaaa kubwa ambayo haikuwatokea katika Kijiji Cha muchamangwana ,,,,Achia njia huku amebaki mdomo wazii!!¡????,,,,,,,,,,,itaendeleaaaa
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUWhere stories live. Discover now