USHUJAAA WANGU ULINIPA UMAALUFU

5 0 0
                                    

SEHEMU YA 1O
Nasema ongea haraka labla sijakata hivyo vichwa vyenu yule mzeee nungunungu aliendelea kuongea na luuliza kwa ghadhabu na vitisho lakin kwa wasi wasi mjomba wa Inyasi akasimama na kusema makwe mukulu mtoto huyu kaamuua mwenyewe kwan hata sisi pia alitueleza jambo hili.ahaaaaaaa.....ukatokea ukimya mahari pale kumbe wakuuu na baadhi ya walinzi walikuwa wakijadili juuu ya uamuzi aliochukua Inyasi.baci mzeee Nungu akaongea kwa ukali kidogo sasa nafasi umepata lakin kwa mashalti yapi ayo aliuliza usipo ludi na dawa ujue unauawa mbele ya wananch woote wa muchangwana na pia ucipo ludi ndu zako hawa wananyongwa kupitia mashine za kunyongea watu alizotemgeza mfalme kwa ajili ya kuulia maaadui pind wakivamia kijiji.hapo hapo shangazi yake pamoja na mjomba wake walikamatwa na kuwekwa kwenye mashine za kunyongea watu kwa maisha yao yooote yatakuwa hapo mpaka Inyasi atakapo ludi kila kitu watahudumiwa hapo.Basi Achia njia akamuuliza kijana unaitaji nini katika safari yako akasema naitajo vazi la kilinz ,kisu kikali mshale mikate asali na kibuyu cha maziwa pasipo kusahasau farasi mweupe alipewa vyooote alifurai kwani vingine alikuwa hajawai kula kilichobakia ni kwenda kuchagua huyo farasi mweupe basi alimchukua yule farasi lakin kabla hajaenda alilude ndani huku akilia machozi haamin kuona ndugu zake wamefungwa mashine shingonimwao .itaendelea
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUWhere stories live. Discover now