USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFU

4 0 0
                                    

SEHEMU YA 5
Umri huo alionao japo alidhoofika kwa kukosa chakula muda mwingine shangaz yake na mjomba wake naooo hawakusita kumtumikisha kazi mbalimbali za nyumban mda mwingine kufwaaata kuni umbali mrefu mnoooo huko anapigwa na watoto wenzie na hata alipolud nyumban na kushtaki hawakutaka kabisa kumsikiliza kweli kisicho chako hakiliki na koromo lako ndo adui mkubwa wa macho yako na mtoto wa mwenzio ci kitu kwako ila chemela lipo kwa mpwepwe hakosi shiida .yoote hayo Inyasi alivumilia sana hali hiyo daaaa cku moja ivo ivo aliamua kujikazaaa kisabuni na kumuuliza mjomba wake
Inyasi.mjomba iv kwanin mfalme hatumuoni
Mjomba.wew ushaanza maneno yako ya kipuuzi hebu nileteee tochi yangu.
Inyasi lakin
Mjomba.lakin ni ni mtoto jeuli wew munyende ghyankoi akoina yayho(aliongea kwa kolugha ukawafwate wazazi wako na ndo uwaulize hayo laaaa
Inyasi.maaaanswee njomba napalila lailo(alijibu nimekosa mjomba ciludii tena)basi ivyo kwa uzuni alitoka na kuleta tochi baadae akatoka na kwenda nje kidogo na nyumban kwaooo alijiuliza uliza maswali mwishowe ucngiz ukampitia akalala paleee maskin hakula hata chakula alikuwa na rafiki yake mmoja aliyejulikana kwa jina la Buna ndio alieenda kumuamsha na kumsindikiza kwao wakiwa njiani wanacheza huku ndege wa ucku wanaimba nyimboza kuashiria waondo wamiliki wa anga wakati huompaka anafikanyumban na kuingia..itaendelea
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUWhere stories live. Discover now