USHUJAA WANGU ULINIPA UMAARUFU

3 0 0
                                    

SEHEMU YA 19
Haaaaaa Achia njia bwana kiongoz tunawalea mno hawa mt huyu aludi kasha uawa na madude ya ajabu namtuma kila masaaa kila mda huyu kijana akamtazame maili kidogo lakin hamna dalili yoyote aliongea kwa ghadhabu kali Mzee Nungunungu..AAaaa kabla hajasema Achia njia ilisikika sauti ya kukwaluza.. makweeee akuntekoo amanji alikuwa ni Mjomba wa Inyasi anaomba apatiwe maji ya kunywa alipewa maji kwa kunyweshwa maana alikuwa amafungwa mikono kichwa kinaning'inia kwenye mashine mpaka shingo imeanza kutoa damu inatosha mzee nungunungu kwa ukali saiz mara ya mwisho nikitumaa askali haludi nawanyongelea mbali.katika kasi ile ile Inyasi akiwa na mwendo kasi wa haraka sana anapokalibia kufika kalibu na nyumban kwa yule bibi vuuuuuuuuuup jin kuuu kikawa limemkalibia na kutaka kumshika paaaa akaachia kibuyu chatu chini mara ukatokea moto mkubwa uliotawala eneo lile na kusababisha jini lishindwe kumkamata na hatimaye moto umepotea yale majin yanamuona ndo yuleee mkia wa farasi yake unamalizikia .lile jini kuuu likawaangalia wenzie na kutoa amri kama mkia nitata mwingine inaonekala huyu alijipanga lakin hata hayakumsikiliza kwan ubish wake ilisababisha wakose nyama yaligeuka na kuanza safari huku Inyasi kwa uoga ule hakugeuka nyuma alikuwa anatimua vumbi tuuu akili yooteeee kwa mjomba ake pamoja na shangazi yake .lamgambo likasikika pale.itaendelea
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUNơi câu chuyện tồn tại. Hãy khám phá bây giờ