USHUJAA WANGU ULINIPA UMAARUFU

3 0 0
                                    

SEHEMU YA 18
Katika mwendo kasi wa hatari farasi anakimbia misili ya ndege za kivita yaan jeti ghafla kabla hajamaliza kile kijiji hali ilibadilika mbingu ikawa na moshi wa ajabu ukiambatana na upepo mkali haliii hii ilimtisha sana Inyasi kumbe kweli ule upepo ulikuwa umeambatana na mwendo mkali wa yale majin yenye hasira kali.hali hii ilimfanya Inyasi azidi kumuimiza farasi wake kwenda mwendo wa haraka huku na farasi na yeye akiwa amejaa woga hivyo alilusha miguu yake sana mara majini yakawa karibu kumkalibia kwakuwa yanamkimbiza kwa njia ya upepo hayoo yanazid kumsigelea hasa jini kuuuu hatimaye yakamkalibia lakin akiwa tayar ameshatoka ndani ya ule mji wa ajabu .ndipo Inyasi akakumbuka vibuyu vitatu alivyo pewa na yule bibi aliyekutana nae akiwa katika safar ya kwenda huko kijijini.farasi anakimbia mara jini linataka tuuu kumshika waaaaaap Inyasi kaaachia kibuyu cha kwanza ukatokea moshi mkubwa kiasi kwamba majin yakashindwa kumuona huku akiwa ameyaacha mbali yalianza tena na hatimae kumkuta linapotaka tuu kumshika Inyasi akaachia kibuyu cha pili chini mara ikatokea bahari kubwa kiasi ambacho majini yalizubaishwa na kushindwa kumshika. Inyasi na farasi wake badi wakiwa katika mwendo mkali.Mzee Nungunungu akamtuma askali mmoja wa kifalme akachunguze barabara kama kuna dalili za kuludi Inyasi akaludiasha majibu hakuna kitu kiongozi.itaendelea
0766626773

USHUJAA WANGU ULINIPA UMAALUFUTempat cerita menjadi hidup. Temukan sekarang