Samahani Sana wasomaji watukufu wa Vuta N'kuvute. Ninaomba radhi sababu;
1. Imekuwa muda tangu nilipoendeleza kisa hiki, na cha kuhuzunisha ni kuwa sina sababu mwafaka kujieleza 😄2. Pili, Onyesho la 38 ndilo litakuwa la mwisho maana nilipoteza mswada wangu wa kitabu hiki. Hata hivyo najitahidi ili nikiendeleze hadi kiishe ndipo nitapoendeleza uhondo huu.
Usife moyo lakini. Lazima nitakiendeleza,,,,nawe utapata kujua hatima ya mji wa Takia ni upi.
Hadi wakati huo, soma, upende na usambaze kisa hiki.
@hillaryrono47
YOU ARE READING
VUTA N'KUVUTE
Mystery / ThrillerMtanzi ambaye ni Kiongozi wa Takia na mgombea kiti cha uongozi cha Takia anaonyeshwa kama kiongozi aliyejaa udhalimu, majivuno, kiburi, na ukatili. Harakati za kumng'atua uongozini zinaanza Lakini pia wale wanaopania kufanya vile haijulikani Hulka y...